Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 951
- 412
Daah kaka ina maana hiyo laki6 ndio ada ya mafunzo kwa mwaka au na ni vyuo vya serikali tuu au hadi private
Hiyo nikwa vyuoo vya serikalii
Daah kaka ina maana hiyo laki6 ndio ada ya mafunzo kwa mwaka au na ni vyuo vya serikali tuu au hadi private
Habar wakuuu...kwenye profile yangu capacity ni zero then cjachaguliwa chuo chochote mpaka sasa mnanishaur nini jamani,mimi niliomba kupitia nacte ns nilikuwa na gpa nzuri tu!!
3.4Broo
Tusubiri 2 maana na mimi ni hivyo ila nmewauliza kupitia ukrasa wao fb wakasema bado waendelea kuselect
Mkuu ninaona capacity ya my second choice na third choice zime reduce adi 0???hiyo inamaanisha nn?