Under 30 wanaongoza kwa kutoa mimba

Wanafunzi wa sekondari, wanachuo na wale walio chini ya umri wa miaka 30 ndio wanaoongoza kwa vitendo vya uchoropoaji wa mimba. Na wengi wao wanagongwa na dokta mtoa mimba kwa kisingizio cha kulainisha njia.

in red, kwa hiyo unawashauri wawe wanawashirikisha jamaa zao kwenye hili zoezi maana hatua ya kwanza hapo nafikiri wanaiweza...
au ulikuwa unamaanisha nini mkuu??
 
Hata ukichungulia tu humu ndani utawaona na uchangiaji wao jinsi walivyo na sifa ya kuwapeleka vichanga mbinguni kwa kisingizio cha kutaka kuendelea na maisha
 
Back
Top Bottom