Undani wa John Mnyika na John Heche

Bila shaka mkuu wangu, bila kukusau wewe ni jembe na ndio maana nikapendekeza sana jina lako wewe ktk uongozi maana unaonyesha nia njema sana ktk ujenzi hapa JF..Kila siku unapoandika hoja ni Positive, mawazo yanayojenga badala ya kubomoa..nakutakia kila la kheri nategemea sana tutakuja kutana siku moja tubadilishane mawazo.
 

Mkuu.
Hizi ni busara na hekima za hali ya juu! Asante kwa andiko lako.

Namkubali sana Ben. Ana maono, anafikiria na kujitazama vishikizo vyake kabla hajatoka mbele ya watu, anaonyesha utofauti na baadhi ya vijana wenzangu nilio waona ni nguzo na hazina ya chama.

Kila jema na lenye kheri lisikuponyoke Ben. Usilitie tembo maji ukageuka mgema au mkulima anayekula mbegu wakati wa kupanda.
 
hivi Greyson Nyakarungu na Habib Mchange wanavyomtukana Heche na Slaa tanuruni ni Sawa au ni wanachama wa CHAMA gani?


Hao jamaa wasipobadilisha mienendo yao, hata kama wana sifa stahili kiasi gani sitarajii kuwaona wakipata nafasi ya kupeperusha bendera ya chama katika uchaguzi wowote.

Na wasipotubu makosa yao ninauhakika muelekeo wao na maisha yao ya kisiasa yanafikia ukingoni siku si nyingi.
Kwa namna wanavyotukana viongozi wao tena wengine kiumri ni sawa na kaka zao, wengine sawa na baba zao, hata wakiomba kuhamia ccm hawatakubaliwa!
 

Apolycaprito,

Sikuenguliwa BAVICHA kwa tuhuma za Rushwa.

Nilishawahi kutoa ufafanuzi hapa JF siku moja baada ya Uchaguzi ule yaani Tarehe 29.05.2011.

Nilieleza juu ya tuhuma za kuunda alliance ambayo kamati ya wazee iliona technically si fair katika uchaguzi ule.Ni kweli niliunda alliance.Mchakato wa uchaguzi una kanuni zake.Na ili Demokrasia ishamiri ni lazima kanuni hizo zifuatwe.Nilijifunza zaidi kupitia nafasi ile na baada ya hapo niliahidi nitashirikiana kukijenga chama changu.BAVICHA ni kubwa kuliko sisi sote
 
Mkuu kuna uzi niliuleta hapa mwezi huu nikimshauri JJM afanye nini kwani naamini ni hazina ya CDM ..kweli wanaweza.
 

Nakushukuru sana Kaka mkuu kwa comment yako. Utakumbuka niliwahi kukuandikia mahali fulani kwamba wewe ni mmoja kati ya wakongwe wachache ninaowaheshimu sana hapa JF.
Ninazisoma sana comments zako hapa JF.
Nadhani utakumbuka jana nilistuka kidogo kwa comment yako kule kwenye thread ya Mchange kumpigia debe Zitto.

Mkuu nitafarijika sana kukutana nawe tubadilishane mawazo, nakumbuka uliniambia makazi yako hapa nyumbani yako Ukonga ambapo ndio uwanja wangu wa nyumbani.
 
Mkuu Ritz kwa mara ya kwanza nikubaliane na wewe.Hata kama umeandika kwa nia mbaya itakuwa ni shauri yako.
naamini hakuandika kwa nia mbaya, kuna wakati Ritz
anakuwa na roho ya kibinadam, ben alitukanwa sana hapa JF lakini hakuwahi kutetereka.
 
Last edited by a moderator:
safi sana. Hongera zao.

 
Bila shaka tukijaaliwa.
 
ama kwa hakika hii thread ina baraka zote toka kwa Mwenyezi Mungu, yaani watu wanajibizana kwa upendo wa hali ya juu, Ritz na Molemo ndani ya nyumba kama malaika wa Mungu, kweli nakubali watanzania ni wamoja, naamini hakuna mwehu ataweza kutugawa kidini, kikabila wala kisiasa.........
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Ritz.
Nimeupenda sana mchango wako kuhusu Ben ambao kwa hakika umeonyesha jinsi binadamu tulivyo pendelewa kwa kujaliwa utashi wa kung'amua na mwenyezi mungu.

Kila jema na lenye kheri lisikuponyoke ustadhi wangu. Mwenyezi Mungu azidi kukujalia hekima na busara na jicho ang'avu linalo uona ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Hakika nikiwaondoa hawa walotajwa hapo juu, ktk vijana wa Chadema wanaonitia moyo na wanaoandika vitu vya maana hapa JF ni Ben Saanane, huyu ananipa hamu, nguvu na matumaini makubwa juu ya vijana wetu.

Mkandara,

Asante sana mkuu.Ukiona hivi ujue umechangia sana kunikomaza kifikra mkuu wangu.

Tutafika tu mkuu wangu
 
Last edited by a moderator:

Mohamedi Mtoi,
Mungu atujalie sote tuwe na busara na heri tele.
 
Last edited by a moderator:

Ben,
MCHANGO WAKO UMENIFURAHISHA SANA.KUSEMA KWELI NIMEFURAHI SANA KUSIKIA MTAUNGANA KWENDA VIJIJINI

KINGINE NIMEPENDA JINSI USIVYOSAHAU MCHANGO WA WANAJF KATIKA KUKUJENGA ZAIDI.NI UNYENYEKEVU WA HALI YA JUU AMBAO WANASIASA WENGI WAMEPUNGUKIWA.HONGERA SANA
 
Mohamedi Mtoi,
Mungu atujalie sote tuwe na busara na heri tele.

Ritz kama utaendelea kujadili issues hapa JF ukiwa objective hivi litakuwa jambo la kheri sana. Kama ni kukubaliana tunakubaliana kwa hoja na kama tunapingana basi inakuwa ni kwa hoja.

Sasa ''ukianzaga'' yale mambo yako ya udini na ukabila ndo huwa unanichefua kabisa hata nisitake kukusoma.
 
Last edited by a moderator:
kaka sasa unaweza sema uko tayari kabisa kumuunga heche mkono katika vita aliyonayo ya kupambana na CCM na kweli utaacha vile vya vikao vya pale (kapuni) ambavyo agenda kuu huwa ni kumdhoofisha huyu bwana mdogo wa chama cgenu kupitia vijana HECHE kwa kweli sisi humu asilimia 100 hatupendezwi na siasa za uvunguni anazofanya mwenzako,nyakarungu, mwampamba, mchange, unasemaje kuhusu mienendo hii na swali langu la utayari wako naomba nipate jibu maana tunapenda kuwaona field na HEche sio humu mitandaoni kwa majina mbalimbali
 
hawa vijana wanapendwa saana kwa kazi zao hii picha yao inadhihirisha kuwa kila mama angependa kuwa na watoto kama hawa ni kweli hata dada yetu hapa joyce alifurahi kuwa nao saafi vijana
 
Hii thread ni nzuri sana yani watu wanajibu kwa hoja pasipo kejeli.
Big up fmpiganaji na mods.
 
mkuu unaelekekea kujibu hoja zangu kaza buti mambo si mabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…