Unconditional Love ❤ Mapenzi ya kweli

Unconditional Love ❤ Mapenzi ya kweli

kusema sio tatizo
kazi ipo kwenye kutenda baba
we unafikiri walioko kwenye ndoa hayo hawayajui???????
ww ingia kwnye ndoa utaona mzk wake

sent from aifoni seveni plasi
 
probably there is none....... i dont think if there is existence of what is known unconditional love.....
People dont want to be practical.unconditional love that's too far a mile,even true love rarely exists

Good Neighbour
 
Hakuna kitu kama "unconditional love" toka kwa mpenzi. That kind of love unaipata kwa mama tu, only your mother can offer you unconditional love.
Exactly my thought....... binadamu tunapendana as long as kuna some conditions katikati yetu ambazo tutakubaliana/kuwekeana. Ukienda tu kinyume, nasepa zangu. Ila mzazi, hata uwe jambazi atakupenda tu, hatokususa na atasimama na wewe no matter what (ila kuna wazazi wachache wanawapenda watoto wao wenyewe with conditions, fulani anabaguliwa sad.)
 
Salamu zimefika,

Siku tukiwa Tanga yetu, tutafika kukusabahi.

Haaaaaa haaaaaa haaaaaa, neno hilo (Ewaaaa) kaniambia dakika kama 30 zilizopita.


Haya bana shemeji uwe na siku njema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom