Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,752
- 13,401
Zilitukuza enzi hizo mimi na jamaa zangu tulikuwa tuna ratiba nzima. Ilikuwa kila siku za juma3 had ijumaa kuanzia saa 15:00H - 18:00H channel 10, tv Mozambique, TIM, ITV na Agape TV walitupa burudani wapenz wa cartoons.
Acha leo nikumbushie cartoon zangu za enzi hizo nakuwa:-
👉Pink and the brain
👉Courage the Cowardly Dog
👉Dexter's Laboratory
👉Ed, Edd n Eddy
humu kuna moja kati ya character mjinga kuwai kutokea kwenye ulimwengu wa animation😂😂😂
👉The Powerpuff Girls
👉johnny bravo
mwili mkubwa nguvu kisoda
👉double dragon.
👉Ben 10:
hii ilikuwa moto hasa ile ya kwanza inayowaonesha kabla hawajawa wakubwa
kevin ndio alikuwa villian character aliyekuwa anamsumbua sana ben10 kwan alikuwa anauwezo wa kutumia had styles 4 za ben10 kwenye umbo moja.
👉popeye and son
wazee wa kula spinach ili kuwa na nguvu.
👉superbook bible stories
hii ilikuwa nzuri kwa watoto. Ilihusu matukio ya kwenye biblia.
👉Tom and Jerry
👉galactik football
humu kuna chenga na rafu za hatari.
👉Robotboy
👉megas xlr
👉Totally Spies
👉codename Kids Next Door
👉the life and times of juniper lee
👉Code Lyoko