Unazikumbuka hizi cartoon?

Umenikumbusha mbali mkuu...
Nikiwahi kumuandikia mwali kabarua, kisha akakapeleka kwa mwalimu wa darasa na kesho yake nikaambiwa nikasome hako kabarua mstarini....[emoji12]
Weee hakuna rangi yenye niliacha kuiona kwa kipigo...[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuligombana sana na dada wa kazi enzi hizo sikumbuki ilikuwa stesheni gani ila ilikuwa ikifika saa 11 jioni wanaweka miziki ya Congo ambayo dada wa kazi alikuwa anapenda wakati huo sisi tunataka Cartoon
 
Daah ulikua mdau...., Kuna wale The adrenaline.
Hivi miaka ile channel 10 ilikua ya ccm?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…