Unazeeka jione hapa

Unazeeka jione hapa

Hahaha... aliyesema kilimo uti wa mgongo..mali zipo shamban..kilimo kwanza wote wapuuzi tu. Hua hata hawajui jembe linashikwa vipi!
Kwahiyo ulipokimbia dar mwezi july ulienda shamba na mali umezipata??😆😆😆😆


Navua samaki tu kwa sasa. Nimekua baharia
 
nimecheka, sio kweli bwana watu wengine wamezaliwa na kismati, mtu anagraduate ana 25 let's say, mara moja anapata kazi ya mshahara 1m+ akifika 31 hana gari wala pagale atakuwa na tatizo mahali fulani kwenye kichwa chake
Kweli huko bongo kuna matatizo makubwa ya kifikra. Yaani mtaalamu wangu wa sociology unataka kuniambia mtu akiwa na gari + nyumba basi ameshapata mafanikio ?
 
Hahaha... Miaka ina Kimbia sana aisee, kama mwaka huu yani siamini kama tayari tupo November!

Nilikuwa nampango hadi December nilipie kakiwanja sehemu lakini naona kabisa dalili za kufeli
Mpaka sasa unaona dalili au ndo tayari ushafeli ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom