Unazeeka jione hapa

Unazeeka jione hapa

nimecheka, sio kweli bwana watu wengine wamezaliwa na kismati, mtu anagraduate ana 25 let's say, mara moja anapata kazi ya mshahara 1m+ akifika 31 hana gari wala pagale atakuwa na tatizo mahali fulani kwenye kichwa chake
Ni kweli ila hao kwa nchi yetu hii ni 1 kati ya 100.

Yani mimi nikiwa ona masela waliograduet wanavyo haha huku kitaa nawaonea huruma kweli.
 
Umenitia moyo sana aisee..

Maana si kwa kugongwa huku na maisha.

Ila kitu nmegundua kwa wakati huu vijana tujiepushe na vimikopo visivyo na Maana. Vinaongeza stress mara 100 zaidi
Tutiane tu moyo ndugu yangu, ulichosema ni kweli kabisa. Mambo yakiwa hayaendi na huku unadaiwa stress zinakuwa mara 100
 
Si hadi niwe na hizo mali!!

Dar nilishakimbia tokea jemedari aseme kufikia July atakaebaki Dar mwanaume. Sie wenye roho ndogo tukatawanyikia mbali.
Hahaha... aliyesema kilimo uti wa mgongo..mali zipo shamban..kilimo kwanza wote Hua hata hawajui jembe linashikwa vipi!
Kwahiyo ulipokimbia Dar mwezi july ulienda shamba na mali umezipata??😆😆😆😆
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom