Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
Sasa wewe umeiokota wapi 39?
We mtoto, umeanza lini dharau eti


Kaone
Sasa wewe umeiokota wapi 39?
We mtoto, umeanza lini dharau eti


Umri umesogea Sana na namiliki simu yangu tu ya tecno ambayo muda wowote naweza porwaUtambee


Huyo mwizi atakae kupora mtoto mdogo kama wewe haendi mbinguni hata kwa msamaha 😂😂😂Umri umesogea Sana na namiliki simu yangu tu ya tecno ambayo muda wowote naweza porwa![]()
Shkamoo Dada mdogoNafarijika kuwaona wadogo zangu![]()
Ha ha ha we jamaa!Ndoa ya Prof Kapuya, Na mzee Rungwe wamenisababisha nijiamini sana.
Haki ya Nani nimecheka MimiHuyo mwizi atakae kupora mtoto mdogo kama wewe haendi mbinguni hata kwa msamaha![]()




Shikamoo inakomaza shauri yako 😂Marhabaaa mdogo wangu mzuri![]()
😂😂😂Haki ya Nani nimecheka Mimi![]()
Nikomae Mara ngapi mdogo wangu?Shikamoo inakomaza shauri yako![]()

Yalikuwepo kwa kiwango kikubwa tuKumbe haya mambo yalikuwepo tangu zamani!?!
AiseeYalikuwepo kwa kiwango kikubwa tu
A wapiKabisa. Mimi huwa nasema haya maisha kwa Mungu ni kama kibao ni sekunde tu kugeuza mshale uelekee upande wa pili.
Mimi mpaka nikifika 45 sina kitu ndio ntasema hapa basi, lkn kwa hii 31 bado sana.
Na asikudanganye mtu, sister, ukiona mtu ana miaka 31 lakini tayari ana vitu vyote muhimu jua ni mwizi.



