Mungu huyu anayehubiriwa angekuwapo hata hii mijadala isingewezekana kuwapo.Ni mada ambayo nikiiona lazima jina lako linijie la kwanza. Kuna ndugu LIKUD yeye tayari anajulikana kwenye mada zinazohusu shule za private na serikali.
Unaweza kukuta hata saa hizi nipo kibanda cha Mama Ntilie Vingunguti napata wali maharage natazama hali kwa Bi Mkubwa Minazi Mirefu hapo.Siku ukirudi ugalatiani mkuu itakuwa ni kilio na taharuki kuu, kama vile Lissu kujiunga na CCM.
Alipaswa kuchagua mema, ila akachagua upande usio mwema matokeo yake ndio hayo! Lazima kuwe na consenquences,Kama ni free will kwanini mtu ahukumiwe Kwa kufanya jambo linalomchukiza huyo Mungu
Aliumba kila kitu kiligeuka kwa ajili ya uasi uliotokea hapo mwanzoKwanini asiumbe binadamu wa kutenda mema tu
Alikuwa malaika mkuu, aliumbwa kama malaikaHuyo Shetani mwenyewe ni Mpango wa Mungu
Bila Mungu kamuumba huyo shetani asingekuwepo
Ali asi, aliingiwa tamaa, tamaa ni dhambi! Jukumu lipi alilopewaπkwamba shetani kafanya shambulio la kushtukiza? , ukiangalia muundo ulivyo kimsingi sana waumini wanatakiwa kumsapoti shetani maana anaplay nafasi muhimu sana na jukumu alilopewa, tofauti na hapo ni kama mnasema shetani amemzidi nguvu
Tutaijadili mpaka siku ya mwisho!Ni mpango wa mungu hii mada kufika au kutofika mwisho π
Na natafuta ajira wa single maza, kadogoli wa waganga, na yule wa wasanii.. kweli kila mtu na sector yakeπNi mada ambayo nikiiona lazima jina lako linijie la kwanza. Kuna ndugu LIKUD yeye tayari anajulikana kwenye mada zinazohusu shule za private na serikali.
Kila kitu kinawezekana! Uwe unatupitia kwenda kula huo wali na maharage tuπUnaweza kukuta hata saa hizi nipo kibanda cha Mama Ntilie Vingunguti napata wali maharage natazama hali kwa Bi Mkubwa Minazi Mirefu hapo.
hapo alipo asi, lilikua shambulio la kustukiza? yani ghafla?Ali asi, aliingiwa tamaa, tamaa ni dhambi! Jukumu lipi alilopewaπ
Shetani ameachwa tu ila hajamzidi nguvu! Kwanza kati yake na Mungu yupi anayetumia nguvu kubwa kushawishi watu matendo?
Ndio πhapo alipo asi, lilikua shambulio la kustukiza? yani ghafla?
hii ni maajabu mkuu πNdio π
Yawezekana.....HUNA UHAKIKa manakeYawezekana , maana ikiwa mtu huyo akaenda humo gerezani na baada ya kifungo hiko akarudi uraiani kama muumini kweli kweli, waumini wwngi husema ule ni mpango wake na njia zake hazichunguziki, au unasemaje mkuu
case study imereference watu wengine mimi ni ripota tu. Na ni kweli "yawezekana" ni mtizamo wanguYawezekana.....HUNA UHAKIKa manake