Yawezekana , maana ikiwa mtu huyo akaenda humo gerezani na baada ya kifungo hiko akarudi uraiani kama muumini kweli kweli, waumini wwngi husema ule ni mpango wake na njia zake hazichunguziki, au unasemaje mkuuUmeambiwa moja ya makosa /amri za Mungu ni kuwa usiibe.
Wewe uibe ufungwe iwe ni mpango wake?
Kwani muumini ndo hawezi iba?Yawezekana , maana ikiwa mtu huyo akaenda humo gerezani na baada ya kifungo hiko akarudi uraiani kama muumini kweli kweli, waumini wwngi husema ule ni mpango wake na njia zake hazichunguziki, au unasemaje mkuu
Kwamba yeye amekukataza usifanye wewe ukafanya na unasema ni mpango wake?Wewe kuvunja sheria zake pia ni mpango wake.
Yeye alishapanga kwamba utaibaUmeambiwa moja ya makosa /amri za Mungu ni kuwa usiibe.
Wewe uibe ufungwe iwe ni mpango wake?
Kwahiyo yeye huyo huyo ndo amepanga watu waende motoni pia na wengine waende peponi?Yeye alishapanga kwamba utaiba
Ukiwa mjinga ni mpango wa mungu.Kwani muumini ndo hawezi iba?
Yaani wewe muumini uibe ushtakiwe ufungwe halafu useme ni mpango wa Mungu na huku huyo Mungu kakuumba na akili ya kujua baya na zuri tena kakukataza usiibe !
Hapo mpango wa Mungu unaingiaje wakati ni ujinga wako?
Ukiwa na akili je ni mpango wa nani?Ukiwa mjinga ni mpango wa mungu.
Kwahiyo hata wewe kuwa maskini ni mpango wake?Ndio, nao ni mpango wa mungu.
Sijasema muumini hawezi iba nimekupa tu moja ya mfano sio lazima mfano uwe ndp hitimisho bali ni uhalisia ulipo huku mtaani .Kwani muumini ndo hawezi iba?
Yaani wewe muumini uibe ushtakiwe ufungwe halafu useme ni mpango wa Mungu na huku huyo Mungu kakuumba na akili ya kujua baya na zuri tena kakukataza usiibe !
Hapo mpango wa Mungu unaingiaje wakati ni ujinga wako?
Ahaa kumbe wewe unatoa hukumu kulingana na mtaa sio?Sijasema muumini hawezi iba nimekupa tu moja ya mfano sio lazima mfano uwe ndp hitimisho bali ni uhalisia ulipo huku mtaani .
Hapo kwenye bold, akili hizo unazosema watu wamepewa wakazitumia na kuona haya mambo ni uongo, nini kitawakuta huko baadae?