unayakumbuka matukio haya??

unayakumbuka matukio haya??

ninachojua mimi mbilikimo aka emolo ndo walikuwa dili kule congo
 
sa hizi kuna na mengine yameongezeka kama yale ya albino na kadhalika
 
kipindi hicho nipo mgambo hatujui kiendeleacho kumbe wanatuandaa twende kwenye vita ya kagera na sie ndo chambo sio kupandwa na presha nakuja kushtuka vita imeisha.
 
kipindi hicho nipo mgambo hatujui kiendeleacho kumbe wanatuandaa twende kwenye vita ya kagera na sie ndo chambo sio kupandwa na presha nakuja kushtuka vita imeisha.

duuh..pole sana mkuu! Vp uliendelea na mgambo au uliacha??
 
Back
Top Bottom