unayakumbuka matukio haya??

kunywonywa damu kipindi kile ilidaiwa walikuwa wanatumia gari jekundu.....mmmh

Hehehehe hiyo sikua najua.
Ila bibi yangu alinihadithia kua siku moja babu yangu usiku akakutana nao karibu na kwetu (waliyekua wanadai ni mnyonyaji ni jirani na ndugu yetu kiukoo). . . unaambiwa alikimbia kama hana akili nzuri na pombe yote ikaishia mbali.
 
hahhaaaaaaaa lazima akimbie maana inasemekana wanakunyonya damu yooooote hawabakishi hata kiduchu hahahahah loh sijui nani alianzisha uvumi huu, maana watu waliuamini haswaaa

hakuna mtu anayependa kufa
 
kweli kabisa, lazima wakuachie muhuri, walivyokuja shuleni kwetu ilivuma kuwa wamewanyonya damu wanafunzi wawili, wamewatoboa kwenye kitovu na kuwapiga mhuri, mpaka sekeseke linaisha haikujulikana ni wanafunzi gani walionyonywa damu na hakuna aliyewaulizia.....loh kweli walijua kutuchota

hata sisi walikuja scul kwetu, walimu walibaki zao peke yao..kila dent alikula chochoro! Halafu kama wakikuua porini wanakupiga muhuri kabisa.
 
hahhaaaaaaaa lazima akimbie maana inasemekana wanakunyonya damu yooooote hawabakishi hata kiduchu hahahahah loh sijui nani alianzisha uvumi huu, maana watu waliuamini haswaaa

Sijui kama ilikua uvumi tu maana ilidaiwa watu walikua wanapotea kabisa. Kuna njia mbili nasikia vibinti vilikua vinapotea sana vikipita wenyewe wenyewe.
 
Wewe uanzisha thread najua wajua, kumbe unaungua na jua. kumbe ni mtoto wa juzi, umezikuta hadithi za kunyonyana damu na kuchunana ngozi tu.
Ulizia na hii kwa bibi yako.

me cjawahi kukuta hii habari ndo maana nakuambia labda uliitunga
 
kweli kabisa, lazima wakuachie muhuri, walivyokuja shuleni kwetu ilivuma kuwa wamewanyonya damu wanafunzi wawili, wamewatoboa kwenye kitovu na kuwapiga mhuri, mpaka sekeseke linaisha haikujulikana ni wanafunzi gani walionyonywa damu na hakuna aliyewaulizia.....loh kweli walijua kutuchota

siku hizi magonjwa kibao sio rahisi tena kunyonyana damu kama zaman
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom