unayakumbuka matukio haya?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

unayakumbuka matukio haya??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mchochezi, Mar 30, 2012.

 1. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  enzi hizo kulikuwa na matukio ya kutisha katika mikoa mbalimbali ya nchi yetu mfano Unyonyaji damu ambapo ilifika kipindi mtu huwezi kutembea peke yako usiku, vilevile Uchunaji ngozi za binadamu hasa kule mkoani Mbeya. Je unakumbuka baadhi ya matukio mengine??
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mkuu mbona matukio yenyewe ni yale mabaya tu na ya kutisha?
  Hukumbuki matukio yeyote mazuri na ya kuvutia?
   
 3. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  duh! namkumbuka yule mtoto flani wa mbeya alichunwa ngozi halafu ITV wakaonyesha hiyo ngozi na ule mwili uliochunwa! watu wana roho ngumu kama mawe....
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kunyonywa damu niliishia kuhadithiwa tu na bibi yangu. Kuchunwa ngozi niliishia kusikia watu wakiongelea, haijawahi tokea mitaa ya kwetu.
   
 5. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  nyie si mnaishi mjini
   
 6. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  mimi nilikuwa nashindwa kuyacheki live maana ni unyama mtupu
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kijijini. . . . .
   
 8. maziwa ya mgando

  maziwa ya mgando Senior Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mauaji ya albino.
   
 9. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  haya ni matukio ya siku hizi, ila zamani tulikuwa tunaambiwa eti albino hawafi eti wanapotea tu..kumbe wanawaua
   
 10. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
   
 12. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kunywonywa damu kipindi kile ilidaiwa walikuwa wanatumia gari jekundu.....mmmh

   
 14. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280

  yaan enz hzo ukiona gari nyekundu tu ujue hapo sio kwema jamaa lazma wakunyonye lita kadhaa
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  hahahahaaaa nakumbuka enzi hizo, ilikuja gari jekundu shule, ukavuma uvumi kuwa ni nyonya damu i see palikuwa kitimutimu, watoto wakatawanyika huku na ilikuwa kizaa zaa kwa kweli......
   
 16. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  hata sisi walikuja scul kwetu, walimu walibaki zao peke yao..kila dent alikula chochoro! Halafu kama wakikuua porini wanakupiga muhuri kabisa.
   
 17. maziwa ya mgando

  maziwa ya mgando Senior Member

  #17
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wee unajua zamani wewe?

  Nilizaliwa zamani kipindi hicho historia ilikuwa ndo breaking news.

  Kwa hiyo nikikuambia mauaji ya albino ni ya zamani, amini ni ya zamani kweli.

   
 18. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #18
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280

  umezaliwa zamzn waapi wewe?? We umezaliwa juz tu..me ni mwasisi wa uhuru wa 1961
   
 19. by default

  by default JF-Expert Member

  #19
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kulikuwa na watu wanaitwa komando yoso
   
 20. maziwa ya mgando

  maziwa ya mgando Senior Member

  #20
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  he he he, nimezaliwa kipindi cha dinosaurs.

   
Loading...