Unayakumbuka Maneno haya ya Kiswahili?

Gangwe -mbabe wa mtaa, kijiji-nakumbuka kila mtaa au kijiji kilikuwa na magangwe wao
 
masaburi=ngongingo=wowowo
gagulo=under skirt
skipa=fulana=tshirt
njumu=daluga=viatu vya kuchezea mpira
DSC03248.JPG

Hapa ndo funga kazi..tupia na Yolanda,Simla,na Cobra..!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom