Hatuwez kujua kama ni ubaguz baina ya mtu na mtu tunaofanya pamoja na ukatili. Hii hutokea kwa sisi masikin.. Takwimu huonyesha kuwa sisi wenye hal ya chin tunaongoza kwa kubaguana hasa kwa wasichana. Msichana mwenzao anapowahadithia kuhusu boyfriend wake, wao humwambia maneno ya kumkatisha tamaa kabsa. Kwan humuambia maneno haya: unafikiri said atakupa nn hata akikuoa. Kwanza kwao hawal bila kugonga nyundo. Haya ni maneno ambayo hata mungu hapendi kabisa kwan ww sio mtoa rizk. Wao hulilia kufuatwa na watoto wa wenye nazo na kutukimbia sis ambao huwa ngumu kumtongoza demu anaetoka kwenye pesa. Lakn pia katka upekuz wangu ndipo nikagundua kuwa na wa hal ya juu hudharauliana pia na wote kutaman wa hal ya chin kuepuka hizo dharau. Lakn wanaongoza kwa kutokuwa na dharau kwa wenye hali ya juu ni mademu tofaut na guyz. Hivyo masikn wenzangu tusiogope kwenda hewan kwa kuogopa kupepea. Hali inaonyesha dunia ilivyo na ubaguz. Jaman tuachen ubaguz katka mapenz kwan wote hak sawa.