Unawezaje kuvumilia hii?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
-Unamwambia tu mume wako, halafu anafanya mabadiliko kwa kumjulisha mke mwenzio.
-Anaruhusiwa kuja kukusatisfy kwa kumshirikisha tu mke mwingine kwa kumjulisha leo nipo huku nakuja kesho. Kesho yake aongeze siku ya kuifidia ili kumpatia haki yake bila upendeleo.
 
Nimecheka hadi nimepaliwa
 
Sidhani km itatokea siku ntavamia nyumba ya mtu km mke wa pili. Mara mia kuishi single kuliko kuwa mke wa pili na wala siko tayari kuletewa bi mdogo ndani.
 
Ukiona hivyo mwanamke ameshindwa kazi, wanaume ni watu wastarabu sana lkn wanabadlika kwa muda mfupi. Na mwanaume akisema no kwenye moyo wake ni no hata km ataendelea kufanya hilo Jambo ni kwa moyo mkunjufu tu lkn hamu yake haipo hapo. Viburi vya wanawake na maneno mengi vinatuchosha wanaume. Mchepuko hauepukikiiii
 
Hahahaahhahahaahahahahaha hospital nitaenda visu na mawe maji ya moto mafuta yamoto vikiwa mbali labda hahaha
Ha ha ha ha inaonekana ugomv wako mmmh hatar sana visu mixer mawe na maji ya moto mmh
 

Hahaha Au wafanye trisome kabisa kwa kusaidiana??
 
Ha ha ha kumbe kuna story za maembe tena

Hahahaahhahahaahahahahaha ndio Bonny kama huu ni msimu wa maembe?? Kwa mdogo maembe yanapatikana kwa bei kubwaaa afu kwa nadra sa kwa mkubwa maembe kibao asimtungulie mwenzie tu??
 
huo ni wivu tu unakusumbua! hakuna hatari wala nini, akileta bimdogo ndani na wewe ungeza ongeza makeke...
 
Humo ndani hamna visu mapanga wala bastola???

Ujinga na dharau hizo

Huyo mwanaume anataka majengo ya serikali yajae eeeh
Ah ha ha ha yani wewe. ...
Ndoa sio utumwa

Ila walioko ndoani ndio wanajitia utumwa

Hivi anaanzia wapi kwa mfano kuleta chepuko??????

Na wakija wakiona nimekaa kimya wakatoe taarifa polisi kabisaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…