smileagain
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 585
- 631
Inategemea mkuu,ila kwa watu wapole na wakimya ni ngumu sana inahitaji neema ya Mungu binafsi uchungu ukizidi huwa nawaombea tu atleast napata nafuu na Mungu alivyo wa ajabu the more unachukia kiumbe chake the more anazidi kumbariki,hahaha,ila ukitaka Mungu amfundishe adabu mtesi wako nimegundua ni kumsamehe na kumtakia kila lenye kheri apo ndipo Mungu atamdescpline....but all in all kisasi ki juu ya Mungu na Mungu ni wetu sote hanaga upendeleo We all matter to HimIla mimi mkuu sijui binadamu wa namna gani huwa situnzii kitu. Ukinikosea kesho yameshaisha nakuona mpya
Hahahaha,najua unataniaMm nasamehe kilaa anayenikosea na mm wananisamege ninaowakosee maana imeandikwa samehe 7×70....nishasemehee hata aliyezaa na mkee wangu sembuse anayenitusiii
Exactly, unayosema ni sahihi. Ila nadhani mioyo yetu imeumbwa tofauti.Inategemea mkuu,ila kwa watu wapole na wakimya ni ngumu sana inahitaji neema ya Mungu binafsi uchungu ukizidi huwa nawaombea tu atleast napata nafuu na Mungu alivyo wa ajabu the more unachukia kiumbe chake the more anazidi kumbariki,hahaha,ila ukitaka Mungu amfundishe adabu mtesi wako nimegundua ni kumsamehe na kumtakia kila lenye kheri apo ndipo Mungu atamdescpline....but all in all kisasi ki juu ya Mungu na Mungu ni wetu sote hanaga upendeleo We all matter to Him
Sio huyo mtu,ni mwingine tu.Kama umeshindwa kusamehe, wala usijali. Mda ni kitu kizuri, utasahau na kusamehe kadri mda unavyoenda. Huwezi kuweka roho ya kwa nini maisha yako yote.
Nani huyo unashindwa kumsamehe, ni baba kijacho? Kama ametubu makosa yake mpe nafasi, kama Mungu anatupatia nafasi mara zote tunapomkosea, iweje wewe ushindwe kumpa mwenzako nafasi?
Hello JF,
Katika maisha kila binadamu hukosea na aombapo huweza kusamehewa au kutokusamehewa, kwa wale mnaosamehe mnawezaje kufanya hivyo?
Sababu mimi mtu akinikosea kitu ambacho kikanitoa chozi basi huwa sisamehi yani huwa nashindwa kabisa kumsamehe, hata aombe msamaha vipi sisamehi then namchukia sana.
Mnaosamehe mnawezaje jamani kuwasamehe waliowakosea?
Ugonjwa tena?Huo ni ugonjwa, "obsessive compulsive disorder". Muone mtalaam wa afya ya akili (psychiatrist) utafaidika. The sooner the better!
Mmmmh!kwanza tatizo lipo kwako mwenyewe jichunguze ht mistake ulizofanya ww mwenywe utakuta hujajisamehe..na ni kweli kumbuka vzr utaelewa kwamba uwaga unajuta mistakes zako mwenyewe za miaka ya nyuma huko...ht mimi nipo hivo ila nilijifunza kua na uwezo wa kucontrol emotions nakujisamehe mwenyewe ndo nkaweza samehe watu
huo ndo ukweli km mtu kakosea na ni binadamu huwezi kumsamehe...je wewe ukifanya mistake zako utaacha kuzikumbuka?nakujiona mjingaMmmmh!
umejuaje?huo ndo ukweli km mtu kakosea na ni binadamu huwezi kumsamehe...je wewe ukifanya mistake zako utaacha kuzikumbuka?nakujiona mjinga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio sasa unafikiri kukasirika gani huko? Kama ungesema unasamehe lakini husahau ningekuelewa. Hiyo hali isipodhibitiwa utapata matatizo mengineUgonjwa tena?
Duuh kama matatizo gani vile?[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio sasa unafikiri kukasirika gani huko? Kama ungesema unasamehe lakini husahau ningekuelewa. Hiyo hali isipodhibitiwa utapata matatizo mengine
huo ndo ukweli coz ht mm nmejifunza kusamehe nkiwa na miaka 26umejuaje?