Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
- Thread starter
-
- #41
Wewe una moyo wa kipekee sana,ko mkeo unaishi nae vizuri tu?Mm nasamehe kilaa anayenikosea na mm wananisamege ninaowakosee maana imeandikwa samehe 7×70....nishasemehee hata aliyezaa na mkee wangu sembuse anayenitusiii
Tenaa kama mwenyenzi mungu alivyoagizaa ishi kwa upendo ndivyo tunavyoishi na mke wangu nampenda huyooo ...mungu ananionaaWewe una moyo wa kipekee sana,ko mkeo unaishi nae vizuri tu?
Aiseeee ubarikiwe sanaaaTenaa kama mwenyenzi mungu alivyoagizaa ishi kwa upendo ndivyo tunavyoishi na mke wangu nampenda huyooo ...mungu ananionaa
AminaaAiseeee ubarikiwe sanaaa
Yaani mimi ukinikosea namwambia wala silali nalo. Nikimwambia tu moyo wangu unalegea na kusameheIla mimi mkuu sijui binadamu wa namna gani huwa situnzii kitu. Ukinikosea kesho yameshaisha nakuona mpya
Sawa mkuu shukrani kwa ushauri wako.Magonjwa mengi ya moyo pamoja na presha zinasababishwa na msongo wa mawazo! Mtu unatumia nguvu nyingi sana kumchukia na kumbeba mwenzako moyoni. Mtu akikosea ukamsamehe haimaanishi unamfaidisha yeye ila ni kwa faida yako.
Kama ni rafiki kakukosea sana inabidi umsamehe tu ila haimaanishi umuamini kama zamani.
Muombe Mungu akusaidie kukupa moyo mwepesei na wa kusamehe... Si kazi rahisi.
Kuna mambo yanaumiza sana Mungu atusaidie kwakweli.Hivi unaweza kumsamehe mtu ambaye anakusemea mabaya kwa Mabosi? Yan anakusemea, na mnaitwa Kikaangoni? Unaanzaje hapo kwa mfano kumsamehe?
[emoji5][emoji5] maisha yanaenda hivyo. sio unafurisha moyo kama andaziii....Yaani mimi ukinikosea namwambia wala silali nalo. Nikimwambia tu moyo wangu unalegea na kusamehe
Sina maana hiyo,naomba ya huyo tuyaache tu.
Kuna ya kusamehe kila kuna vitu vingine ukitendewa ni ngumu kweli kusamehe
Huyo unamsamehe usiku tu ukilala, ila kukikucha chuki ziendelee maana ndo muda wa kutafuta riziki af yeye anazifunga.Hivi unaweza kumsamehe mtu ambaye anakusemea mabaya kwa Mabosi? Yan anakusemea, na mnaitwa Kikaangoni? Unaanzaje hapo kwa mfano kumsamehe?
Kuna tofauti kati ya KUSAMEHE na KUPUUZA. Ukisamehe inamaana unamfutia mtu hatia ya kosa lake anakua kama hajakukosea kisha uhusiano unaendelea. Ukiua uhusiano hujasamehe umefanya kitu ingine. Kupuuza ni kutotaka kufanya suluhu wala nn ila unachikulia poa tu nafsini mwako ila kuna namna utamuavoid au kubadilisha mazingira etc. The best way ninkusamehe. Hii inaonesha advanced maturity behaviour.
Mfano wazazi wetu tuliwakosea sana tukawakwaza sana pengine walilia sababu yetu lakini waliamua kutusamehe na bado wakatusaidia kufikia ndoto zetu. Japo wapowazazi wachache waliosusa watoto wao kwa sababu ya makosa fulani