Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
- Thread starter
-
- #21
Wengine bila sababu mkuuUkitaka kusamehe watu wachukulie kama ni watoto wadogo bila kuwaangalia usoni lakini usiwadharau. Pia watu hawakukosei kwa bahati mbaya bila wewe kuwa sababu.
I will tryKuwa na don't care attitude
Nimesema unatakiwa kuwa kama mtoto au kuwachukulia kama watoto wadogo. Hivi mkuu mtoto wa mwaka mmoja au miwili akikung'ata au kukupiga usoni utakasirika? Kwanini?Wengine bila sababu mkuu
Hapana siwez kasirikaNimesema unatakiwa kuwa kama mtoto au kuwachukulia kama watoto wadogo. Hivi mkuu mtoto wa mwaka mmoja au miwili akikung'ata au kukupiga usoni utakasirika? Kwanini?
Namuombea lakini bila kukusahau nawe pia
Kwanini usiweze?Hapana siwez kasirika
Umenifungua kitu na mengi uloyaandika yamenigusa thank you for your advice..be blessed. [HASHTAG]#Tabby[/HASHTAG]
Hello jf,katika maisha kila binadamu hukosea na aombapo huweza kusamehewa au kutokusamehewa..kwa wale mnaosamehe mnawezaje kufanya hivo sababu mimi mtu akinikosea kitu ambacho kikanitoa chozi basi huwa sisamehe yani huwa nashindwa kabisa kumsamehe hata aombe msamaha vipi sisamehe then namchukia sana,mnaosamehe mnawezaje jaman kuwasamehe waliowakosea?
msikilize Goodluck hapo utapata majibuHello jf,katika maisha kila binadamu hukosea na aombapo huweza kusamehewa au kutokusamehewa..kwa wale mnaosamehe mnawezaje kufanya hivo sababu mimi mtu akinikosea kitu ambacho kikanitoa chozi basi huwa sisamehe yani huwa nashindwa kabisa kumsamehe hata aombe msamaha vipi sisamehe then namchukia sana,mnaosamehe mnawezaje jaman kuwasamehe waliowakosea?
Sina maana hiyo,naomba ya huyo tuyaache tu.Baba mtoto anaonesha nia ya kurudisha majeshi nini?
Okay mkuu nimekuelewa asante kwa ushauri.Kuna tofauti kati ya KUSAMEHE na KUPUUZA. Ukisamehe inamaana unamfutia mtu hatia ya kosa lake anakua kama hajakukosea kisha uhusiano unaendelea. Ukiua uhusiano hujasamehe umefanya kitu ingine. Kupuuza ni kutotaka kufanya suluhu wala nn ila unachikulia poa tu nafsini mwako ila kuna namna utamuavoid au kubadilisha mazingira etc. The best way ninkusamehe. Hii inaonesha advanced maturity behaviour.
Mfano wazazi wetu tuliwakosea sana tukawakwaza sana pengine walilia sababu yetu lakini waliamua kutusamehe na bado wakatusaidia kufikia ndoto zetu. Japo wapowazazi wachache waliosusa watoto wao kwa sababu ya makosa fulani
Sababu ni mtoto hata nikimkasirikia haina maana.Kwanini usiweze?