Unawezaje kumchukia ALIYEKUWA mpenzi wako kiasi hiki??! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unawezaje kumchukia ALIYEKUWA mpenzi wako kiasi hiki??!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by trachomatis, Oct 27, 2011.

 1. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Leo ofisini kwangu nimeshuhudia tukio la kushangaza..Katibu muhtasi wangu[P/S] alimkimbia mgeni wake na kwenda kujificha.Mgeni baada ya kuona hapewi ushirikiano aliamua kuaga na kuondoka.
  Cha ajabu P/S alirudi huku akilia na kuwalaani wote[anaowajua na asiowajua] waliomwelekeza ''mpenzi'' wake huyo mahali aliko. Alianza kupiga simu nyingi kama kachanganyikiwa,akiomba ushauri kwa ndugu na rafiki zake wanaomfahamu ''mpenzi'' wake huyo wa zamani.Tulipomhoji alifunguka hivi: alikuwa mpenzi wake tangu mwaka 2000.Walipishana umri kiasi cha miaka 10.''Akamfac ilitate'' akasoma kozi ndogo ya uuguzi ya mwaka mmoja. Hakupata kazi zaidi ya kuuza kwenye maduka ya dawa.Ilipofika 2007,bwana yule alihamishwa kikazi.Katika kipindi chote hicho walikuwa wakiishi pamoja.Na bwana alipata kudhamiria kumuoa dada huyo,kigezo kilichomdisqualify kilikuwa ''dini''. Wakati binti alikuwa radhi kubadili,wazazi wake hawakumruhusu. Binti aliamua kuondoka na kurudi kwao kwa sababu ambazo hajaniambia[ nafikiri huduma hazi kuwa hafifu. Aliendelea kuwa na mahusiano mengine,ila alikosa amani yule bwana alipokuwa akirudi kwani yue bwana alijihesabu kuwa ndiye MMILIKI wa mwili wa yule dada.. Kivipi? Hata apotee miezi 9,miezi mi3 inayobaki yulew dada anakuwa ndiyo mke.Imekuwa ikimnyima raha sana hali hiyo.
  Kwa hiyo nikamuuliza maswali mawili,je alikuwa mwanaume wako wa kwanza kabisa maishani mwako?,akajibu ndiyo.Nikamwuliza je, ulipokuwa naye kulikuwa na shida ya huduma? Akajibu,hapana. Nikaongezea hapohapo,je mbali na kazi yake[udereva],ana mradi wowote wa nje? Akasema ana gari 2 zenye kufanya biashara ya usafirishaji. Je mtu wa aina hii unapomuuliza kwa nini ana chuki ya kiasi hicho anakwambia ''mi simtaki tu'' inawezekana?
   
 2. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,197
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  women are complicated creatures.
   
 3. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Nahisi huyo dada kuna mambo ameficha hajasema yote!
   
 4. v

  valid statement JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  wakati mwengine ni mapepo ya chuki yanawakumba watu.
  Unamchukia mtu mpaka shetani mwenyewe ANASHANGAA jinsi ulivo na chuki kali.
   
 5. T

  Topical JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  sayansi ya mapenzi kitu kingine mkuu
   
 6. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Pengine kaa naye kitako ili umsaidie
  Lazima kaathirika kisaikolojia tu
   
 7. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  '....nuff said, huyo bwana anamfuata mwanadada kujistarehesha na kukidhi hamu yake kimwili tu...mdada ana kila haki ya kumkataa kwani anadhalilishwa, ila tu hana ujasiri bado wa kumtamkia huyo mbaba.
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  very true. Mtu aondoke mwaka,au miezi 9 arudi akuparamie. Ilhali kila m2 alisepa kivyake loh!
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  a thin line between hate and love...
   
 10. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Sure!undefined creatures.
   
 11. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  huyo dada kesha pata bwana mwingine ndo maana kaamua kufanya hayo madudu
   
 12. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ila when a woman fade up.......
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Unadhani ukimwi kwenye ndoa unakujaje? Na huko anapokua miezi 9 anakua kwenye mafungo?
  Dada wa watu kama amejigundua hayawezi hayo maisha, asimkimbie jamaa. By the way kufunga ndoa haiwezekani na walikubaliana hivyo. Amuache dada wa watu ajitwalie candidate! Kha!
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Kwa nini unayaona madudu na sio maamuzi?
   
 15. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Si amwambie basi kuwa 'hali hii siwezi, kwa heri ya kutoonana'...unakimbia kimbia, kujificha chooni na kulia lia nini sasa?
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  usikute huyo mwanaume mbabe dada wa watu akimwambia anaangushiwa kipigo, au mdada hajamwambia jamaa kuna kitu anafaidika nacho, labda pesa loh!!!
   
 17. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2011
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Hakuna dalili ya ndoa hapo. Atazeeka akichezewa tu. Ama kuwa mke wa 8.
   
 18. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Dr Riwa, wanaume wengi hawapendi kukubali ukweli kwamba hatakiwi tena. na huyo anayerudi rudi anakila dalili hizo..
   
 19. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Na wakati mwingine haya mambo yako upande wake; masikini mwanaume mwenzangu huyo.............nimejihisi ndio mimi hapo...daha aisee!
   
 20. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Well hapa mnatoa konklusheni akoding to mdada; kuna msilolijua hapa; usikute jamaa anakimbiwa baada ya kuwa ame invest kiasi cha kutosha na anashangaa kwanini uhusiano wao ahuendi next level ya hapo wa lipo na suala la din siku hizi sio issue sana; tunashuhudia ndoa ngapi mchanganyiko ama zile ambazo mtu anahama hata bil ridhaa ya mtu yeyote....................nachelea kusema it seems she used the poor guy!
   
Loading...