Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,173
- 190,748
Naomba niongezee neno "pumbavuuu!" hapo mwisho!Ukianza michepuko utajua kwamba walioiweka hiyo option ya block hawakuwa wajinga.
Picha linaanza fety anapiga huku mkeo anachezea simu anakupa pokea. Unapatwa na ganzi ghaflaš¤£š¤£š¤£
Michepuko inatolewa karantini napoingia kwenye gari na kuanza safari ya kuelekea mjini..
