Unawezaje kumblock binadamu mwenzako

Unawezaje kumblock binadamu mwenzako

Kuna watu hawajui hata kublock kwasababu wana njia zao nyengine za kublock!
Tusi moja tu mpaka unaumwa homa!
Kwa wale wakorofi sasa ulishawahi pigwa mtama ukaruka kimo cha ng'ombe..? Sasa hao binadamu wapo na namba yake sio tu utaifuta mpaka unawapigia mtandao husika hutaki kuiona kabisa namba yake

Kuna wengine wanachamba hasa jinsia ke! Unachambwa mpaka inafika hatua unajiuliza hivi kwanini naishi..?
Si bora tu nisingekuwepo maana kila mchambo unaotoka ukijaribu kukilinganisha na kiumbe chochote hakuna kiumbe cha namna hiyo isipokuwa wewe tu unaechambwa! Unaweza hata ukalia na umesimama lknachozi yanaelekea kwa nyuma yani kwenye maskio

Michambo inafadhaisha sana kuna videmu viwili hivyo kenge mimi sitavisahau,wameniasili kwa michambo yao mpaka nikisikia neno "UNIKOME" Moyo unashtuka
Nikishaona mtoto wa kike kasimama mbele yangu halafu mguu mmoja mbele mwengine nyuma halafu mkono mmoja kiunoni na akianza kunesanesa hapo hapo naukumbuka na ule usemi usemao "mwana kulitaka mwana kulipata"!! Nainua na miguu nakula khona
Pole sana mkuu kwa vichambo ulivyopitia, hazira zako uliziacha nyumbani mkuu.,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu kwa vichambo ulivyopitia, hazira zako uliziacha nyumbani mkuu.,

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi pigana na jinsia ke! Coz nawapenda sana halafu hawajakaa kupigwapigwa!.. ila siku atakaezidi sijui nitatoa kipigo cha aina gani!! Maana mi ni wale niacheni nimtie adabu huyu😂😂
Sitaki mtu aingilie😅😅
Sasa hasira za hivyo ndugu usipojua kuzikontro jela itakuwa nyumbani kwako.
 
Hiyo dhambi unayopata ukimblock mtu ipo kwenye kitabu cha dini gani? Tuanzie hapo kwanza

GunFire
 
Hiyo dhambi unayopata ukimblock mtu ipo kwenye kitabu cha dini gani? Tuanzie hapo kwanza

GunFire
Mkuu dhambi ipo ila inapatikana katika kuishi kwa upendo ndio amri kuu ambayo inaiweka jamii pamoja, hvyo indirect ukiblock mtu ni kama vile umedhihirisha chuki kwake kitu ambacho sio kusudio la tumuaniye..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello Members,

Hongereni kwa kuendelea kukabiliana na Covid-19.

Leo naomba niulize sijui nina moyo mwepesi au nina huruma sana, ila naona sio sawa kumblock mtu kwenye simu yako, iwe whatsap au kawaida.

Mimi simu yangu haina namba ambayo ipo karantini hata moja,bora niongee nae taratibu kuwa usinipigie maisha mengine yaendelee, asipoelewa ni yeye ila sitopokea wala kujibu text za muhusika.

Naona kama dhambi vile, hata nikiblock after two days naitoa.

Au sijakutana na ving'ang'anizi???mimi ni me.

Nishaletaga mada ya kutafuta mke nilimpata na tulifunga ndoa,na nina amani ya kutosha.
asante sana JF,

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
we all live under the same sky but we all not see the same light...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vile vile nafikiri hujawahi kusumbuliwa kwa maana ya usumbufu mwenyewe.

Kuna watu hata ukiwaambia uko mochwari umekufa watakupigia missed call 1000 kukudai 500 na mikwara juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha nimecheka sanaa,kwamba bado hawaamini kama umekufa?? Mkuu unazidi kunipa muda ntakutana na wasumbufu wenye Phd.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Block iliwekwa maksudi mkuu.
Imagine umeachana na manzi bado unamuelewa. Wewe unajitahidi ku-move on yeye ndio anazidi kutupia ma picha akiwa na washkaji zake wengine wa kiume (inauma sana😂)

Kwahio ili speed ya kumove on iendelee inabidi umpe block takatifu au ufute namba tu ili usijitoneshe vidonda. Hii inasaidia sana.
 
nafuta sms bila ata kuifungua

Sent from my SM-A105G using Tapatalk

Hii iliwai kuniponza..

Nilimuacha mpenzi wangu flani hivi. sasa akawa ananitumia meseji mi nazifuta bila kuzisoma.

Dah.. kumbe alikuwa ananijulisha anaujauzito wangu na nikiendelea kutojibu txt wala col zake atautoa ujauzito ule.

Nilikuja kujua kwa bdae nilipowasliana nae Instagram.

Roho inaniumaga sana aise. Hienda sasa hivi ningekuwa ' Mshua Boy '
 
Hii iliwai kuniponza..

Nilimuacha mpenzi wangu flani hivi. sasa akawa ananitumia meseji mi nazifuta bila kuzisoma.

Dah.. kumbe alikuwa ananijulisha anaujauzito wangu na nikiendelea kutojibu txt wala col zake atautoa ujauzito ule.

Nilikuja kujua kwa bdae nilipowasliana nae Instagram.

Roho inaniumaga sana aise. Hienda sasa hivi ningekuwa ' Mshua Boy '
Pole sana, ila naona wadau wapo 50 50, inategemea mazingira ya kumblock mtu au sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Block iliwekwa maksudi mkuu.
Imagine umeachana na manzi bado unamuelewa. Wewe unajitahidi ku-move on yeye ndio anazidi kutupia ma picha akiwa na washkaji zake wengine wa kiume (inauma sana)

Kwahio ili speed ya kumove on iendelee inabidi umpe block takatifu au ufute namba tu ili usijitoneshe vidonda. Hii inasaidia sana.
Futa namba, utoona chochote..hapo mkuu, unakua bado una upendo kwake bado, hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa na mambo za hali ya chini hata kama mwanangu nafuta no hapohapo,

Ukinitafuta zaidi ya mara2 nikajua ww ni yule nakulima block
Mambo za hali ya chini unamaanisha nini

Mpenda papuchi yako au mtu maskini ?

Acha kukaa kihasara hasara
 
Back
Top Bottom