Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,524
- 203,269
😂😂😂😂
😂😂😂😂
For real?asa tutafanyaje?
Daah we acha tu mkuu unapewa tusi moja tu. Hadi moyo na maini yanachoma ubongo unavurugika unaacha kutongoza kama mweziKuna watu hawajui hata kublock kwasababu wana njia zao nyengine za kublock!
Tusi moja tu mpaka unaumwa homa!
Kwa wale wakorofi sasa ulishawahi pigwa mtama ukaruka kimo cha ng'ombe..? Sasa hao binadamu wapo na namba yake sio tu utaifuta mpaka unawapigia mtandao husika hutaki kuiona kabisa namba yake
Kuna wengine wanachamba hasa jinsia ke! Unachambwa mpaka inafika hatua unajiuliza hivi kwanini naishi..?
Si bora tu nisingekuwepo maana kila mchambo unaotoka ukijaribu kukilinganisha na kiumbe chochote hakuna kiumbe cha namna hiyo isipokuwa wewe tu unaechambwa! Unaweza hata ukalia na umesimama lknachozi yanaelekea kwa nyuma yani kwenye maskio
Michambo inafadhaisha sana kuna videmu viwili hivyo kenge mimi sitavisahau,wameniasili kwa michambo yao mpaka nikisikia neno "UNIKOME" Moyo unashtuka
Nikishaona mtoto wa kike kasimama mbele yangu halafu mguu mmoja mbele mwengine nyuma halafu mkono mmoja kiunoni na akianza kunesanesa hapo hapo naukumbuka na ule usemi usemao "mwana kulitaka mwana kulipata"!! Nainua na miguu nakula khona![]()
😂😂😂 huo muda sina
HallelujahHeri wenye moyo safi
HongeraSijawai block mtu
Haha
ExactlyWadada ndio hutublock sisi me kisa hatuna ela
🤣🤣🤣🤣🤣😃🤣🤣🤣Kuna watu hawajui hata kublock kwasababu wana njia zao nyengine za kublock!
Tusi moja tu mpaka unaumwa homa!😂
Kwa wale wakorofi sasa ulishawahi pigwa mtama ukaruka kimo cha ng'ombe..? Sasa hao binadamu wapo na namba yake sio tu utaifuta mpaka unawapigia mtandao husika hutaki kuiona kabisa namba yake😂
Kuna wengine wanachamba hasa jinsia ke! Unachambwa mpaka inafika hatua unajiuliza hivi kwanini naishi..?
Si bora tu nisingekuwepo maana kila mchambo unaotoka ukijaribu kukilinganisha na kiumbe chochote hakuna kiumbe cha namna hiyo isipokuwa wewe tu unaechambwa! Unaweza hata ukalia na umesimama lknachozi yanaelekea kwa nyuma yani kwenye maskio😂😅
Michambo inafadhaisha sana kuna videmu viwili hivyo kenge mimi sitavisahau,wameniasili kwa michambo yao mpaka nikisikia neno "UNIKOME" Moyo unashtuka😅😅
Nikishaona mtoto wa kike kasimama mbele yangu halafu mguu mmoja mbele mwengine nyuma halafu mkono mmoja kiunoni na akianza kunesanesa hapo hapo naukumbuka na ule usemi usemao "mwana kulitaka mwana kulipata"!! Nainua na miguu nakula khona😂😅
Hahaha moja ya hbr nimechomekea humo humo...
Nimecheka ulivyotuchanganyia habari.
BTW hongera na ndoa njema.


HahahaUkianza michepuko utajua kwamba walioiweka hiyo option ya block hawakuwa wajinga.