Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,623
Kuna watu ni wapuuzi nakuambia, hadi unajuta kumpa nambaInategemea na mtu dada, uniambie sitaki unipigie au nakupigia unakata hunitafuti badae, nije kuendelea kukutafuta!?
Kuna watu ni wapuuzi nakuambia, hadi unajuta kumpa nambaInategemea na mtu dada, uniambie sitaki unipigie au nakupigia unakata hunitafuti badae, nije kuendelea kukutafuta!?
Hio inaitwa ignoring, mtu kama ataona missed calls zako halafu asikutafute ni kwamba amekupotezea tu ila hajakublock.Nini maana ya Blocking? Au unampigia simu mtu au unamtext simu anakata, texts hajibu na baadae hakutafuti?
😁😁😁😁😁😁😁 ebu nipe mie mpenz sitakusumbua, tatizo unawapa wakolomijeKuna watu ni wapuuzi nakuambia, hadi unajuta kumpa namba
Nimekutumia piemuebu nipe mie mpenz sitakusumbua, tatizo unawapa wakolomije


Yote yanamaanisha kitu kimoja kutokana na mimi. Hiyo ni kuwa, Huna Maana yoyote kwake. Ya nini kujitaabisha kwa mtuHio inaitwa ignoring, mtu kama ataona missed calls zako halafu asikutafute ni kwamba amekupotezea tu ila hajakublock.
Ukiwa blocked ama simu isipatikane kabisa ama ujibiwe na mtandao kuwa mtumiaji anaongea na simu ingine kila unapompigia.
kujiongeza ni muhimuYote yanamaanisha kitu kimoja kutokana na mimi. Hiyo ni kuwa, Huna Maana yoyote kwake. Ya nini kujitaabisha kwa mtu
Rafiki angu hunioni auNgoja na mm Sasa niwe seriously
Nitoe nurse humu au mwalimu
god is good
mmh wacha nikaikwarueNimekutumia piemu![]()
Rafik nmekuona hee hee Bora tuRafiki angu hunioni au
Mekumiss ulipoteaga wapi kwaniRafik nmekuona hee hee Bora tu
Umeniita maana nmeham sio
Kawaida
god is good
Mihangaiko tu rafik ya hapa na paleMekumiss ulipoteaga wapi kwani