Unawezaje kumblock binadamu mwenzako

Unawezaje kumblock binadamu mwenzako

Kuna watu hawajui hata kublock kwasababu wana njia zao nyengine za kublock!
Tusi moja tu mpaka unaumwa homa!
Kwa wale wakorofi sasa ulishawahi pigwa mtama ukaruka kimo cha ng'ombe..? Sasa hao binadamu wapo na namba yake sio tu utaifuta mpaka unawapigia mtandao husika hutaki kuiona kabisa namba yake

Kuna wengine wanachamba hasa jinsia ke! Unachambwa mpaka inafika hatua unajiuliza hivi kwanini naishi..?
Si bora tu nisingekuwepo maana kila mchambo unaotoka ukijaribu kukilinganisha na kiumbe chochote hakuna kiumbe cha namna hiyo isipokuwa wewe tu unaechambwa! Unaweza hata ukalia na umesimama lknachozi yanaelekea kwa nyuma yani kwenye maskio

Michambo inafadhaisha sana kuna videmu viwili hivyo kenge mimi sitavisahau,wameniasili kwa michambo yao mpaka nikisikia neno "UNIKOME" Moyo unashtuka
Nikishaona mtoto wa kike kasimama mbele yangu halafu mguu mmoja mbele mwengine nyuma halafu mkono mmoja kiunoni na akianza kunesanesa hapo hapo naukumbuka na ule usemi usemao "mwana kulitaka mwana kulipata"!! Nainua na miguu nakula khona

Acha kukaa kihasara hasara
 
Ukiwa na mambo za hali ya chini hata kama mwanangu nafuta no hapohapo,

Ukinitafuta zaidi ya mara2 nikajua ww ni yule nakulima block
Dooh usimdharau mtu kila mtu hujui,unae mchukulia poa leo pengine anaweza kuja kukusaidia next time au mda huo huo hujui unaweza kutana na hatari gani kwa wakati upi.
Tena unayemdharau usije shangaa ndo anakuombea unafanikiwa bila kujua.

Maisha hayana garantee, me huwa simdharau mtu yeyote wote wanafaa wote wana hadhi sawa sio wa chini au wajuu.

Angalia sana maneno yako.
 
Umenikumbusha kuna kaka mmoja tulikuwa tunafanya nae kazi, nilikuwa simpendi jamani ila sikuwahi kumuonyesha, nikikutana nae nasalimiana nae vizuri ila siendelezi story najitia niko busy. Siku moja alinisaidia jambo kubwa sana najiuliza bila yeye siku ile sijui ingekuwaje. Nikashukuru sikuwahi kumuonyesha chuki au dharau yoyote
 
Dharau ni nn?!

Bro kila mwambaa ngoma huvutia upande wake kwann nijikere nafsi ili nikufurahishe?!
 
Ukweli ni kwamba kila kiumbe wa Mungu ameumbwa kwa makusudio na kazi yake, huenda uwepo wa mtu fulani una balance Maisha ya mtu mwingine.

Mfano sisi katika Darasa letu(chuoni)_kulikuwa na watu wanatabia sio nzuri lakini siku walivyoondoka tulikosa raha, kwann? Wali play umuhimu wao hata kama wana tabia mbaya ila Maisha kuvumiliana.

Maisha mda wowote yana badilika.kuna kauli ya Mwalimu naikumbuka alisema" unayemdhania kuwa ndiye anaweza kuwa siye and na kinyume chake, fikiria wakati wa shida marafiki wanaweza kukukimbia akaja akakusaidia mtu mwingine kabisa usimdhania au kumjua.
 
Dharau ni nn?!

Bro kila mwambaa ngoma huvutia upande wake kwann nijikere nafsi ili nikufurahishe?!
No sio kunifuraisha, ila hakuna aliye chini au juu ila kikubwa wote wapo sawa pengine status au uwezo wa mtu wa kung'amua mambo au uwezo wa kipesa,huo ni uwezo kila mtu kajaiwa na Mungu.

udhaifu wa mtu ni udhaifu wake, hatujui kesho kipi kitatokea nani atakusaidia

Mfano me huwa ni mkimya namarafiki wachache sana, ambao nimeona wanafaa lakini sijawai chukulia mtu yeyote poa au kuwaona hao ambao nipo nao mbali kuwa wa chini au wajuu.
 
Mm sina marafiki kabisa heri ww unao
Nna watu ninaofahamiana nao i dont expect much kutoka kwa watu

Let bygones be bygones
 
Mm sina marafiki kabisa heri ww unao
Nna watu ninaofahamiana nao i dont expect much kutoka kwa watu

Let bygones be bygones
Sawa ila katika Dunia hamna aliyejitosheleza,hata Moo Dewij bado anamhitaji jirani( watu mambo yake yaende) ,Duniani tunategmeana. Unaweza kwa na pesa ndefu ila upo katikati ya jangwa na usiweze kuitumia na unaweza usipate chochote na pesa ndefu ukiwa jangwani.

Jitaidi usijiwekee kisiwa katika Maisha . uwe na siku njema Dadaaa
 
Sawa ila katika Dunia hamna aliyejitosheleza,hata Moo bado anamhitaji jirani( watu mambo yake yaende) ,Duniani tunategmeana. Unaweza kwa na pesa ndefu ila upo katikati ya jangwa na usiweze kuitumia na unaweza usipate chochote na pesa ndefu ukiwa jangwani.

Jitaidi usijiwekee kisiwa katika Maisha . uwe na siku njema Dadaaa
Moo ni nani
 
Back
Top Bottom