Unaweza oa mwanamke wa miaka 35?

Hunitakii mema,35 yrs Mimi atanizalia watoto wangapi?
Akiwa na 36 anakuzalia wa kwanza
39 wa pili
41 wa 3
43 wa nne
Hata huko kwenye menopause unaweza pewa mmoja wa nyongeza
 
Hunitakii mema,35 yrs Mimi atanizalia watoto wangapi?
Hapo kama ni
Mwanaume wa kikojani na mpemba huyo mwanamke anazalishwa watoto 4 ..fasta.
Hadi akifikisha 40 washamalizana.
 
Dogo ukimuona huwez amini kama ana 30+,ni chuma hasa na anajua kujitunza,hata k yake utazani ni bikra
Hahahah kazi kwelikweli. sasa unataka ushauri gani tena? We umeshazama hapo huwezi kushaurika
 
35
Watoto 2
Pisi ya kwenda
Mchakarikaji
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mambo mengine bana!! Yani mwenzako kuwa na watoto imekuwa kasoro?, Swala la kuoa halina muongozo maalum... Miaka 35 bado sana ana umri wakutumika na kutumikia. Inategemeana na umri wako wewe?, Unaweza ukaoa binti wa Miaka 20 akawa mbovu na changamoto lukuki afandhali huyu mwenye watoto!!.
Watoto kama ni wakubwa awapeleke kwa baba zao vinginevyo utachapiwa na baba wa hawa watoto🚢🚢
 
Your browser is not able to display this video.
 
Wakuu

Salaamu,naomba kuuliza tu mfano wewe umekutana na Binti wa miaka 35,mwenye watoto wawili baba tofauti,unaweza oa mwanamke wa dizaini hii?

Ni piss ya kwenda,mpambanaji but kasoro ni hiyo tu,
Hayana formula, ukizama unaweza kuoa hata wa miaka 40.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…