UNAWEZA kuwa MJINGA KIONGOZI wewe apo.?!

UNAWEZA kuwa MJINGA KIONGOZI wewe apo.?!

kuanzia leo mimi na mme wangu 2 ctajaribu kutoka njeisha ya ndoa na ndo nimeisha jitoa kwenye kundi hilo la wajinga

AMEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEN!
ubarikiwe mamii!
 
wengina wameamua kusoma tu kama guest!
jamani nyie guests hebu kujeni huku!hamchoki kuwa guest mkiwasaliti wenzenu mwende guest hata humu napo muwe guest!hili neno mwalipenda nyie! lolThere are currently 15 users browsing this thread. (5 members and 10 guests)


Wanasema za mwizi arobaini waeza kuta mtu anasoma comments na kweli yuko Guest sasa hapo nguvu ya kutype na ujasiri wa ku post anautoa wapi?????

Wenzangu na mie hapa washasoma hii post wana dilemma ya kuendelea na deal as per yesterday agreement au ajivue gamba.....????? Wanajionea hudhurungi hudhurungi flani hivi.....................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Na huyu jamaaa TAMKO sijui kapatwa na upako gani mpaka kuleta hii mada hapa
 
kuanzia leo mimi na mme wangu 2 ctajaribu kutoka njeisha ya ndoa na ndo nimeisha jitoa kwenye kundi hilo la wajinga
mi nilishaSTUKA KITAMBOOOOOOOOOOO!! NILIONA KWA MACHO YANGU MKE WA MTU ANAVYODHARAULIWA NA HUYO BWANA ALIYEMMEGA, ILIHALI NA YE NI MUME WA MTU!! ILA MKEWE WEEEEEEEEEE USITHUBUTU KUMCHELEWESHA KWAKE HATA NUSA SAA, NA MKEWE AKIPIGA ANAPOKEA SIMU KAMA KAPIGIWA NA ZIRAIL ANAVYONYENYEKEKEA! NDIO MAANA NIMEAPA PAPA LANGU HATALIONA KIUMBE AWAYE YOTE YULE!! NI MUME WANGU TUUUUUUUU! BHASSSSSSS! AND AM SOOOOO PROUD KUSEMA HIVI, LOL!


JAMANI WANAWAKE WENZANGU, HASWAAAAA SISI WENYE WAUME, TUACHE JAMANI MPANGO WA KANDO, HEBU WEKA RESOLUTION KUANZIA NEXT YEAR SIGONGWI NGOOOOOO, KAMA ZIMEKUZIDIA HIZO N.Y.E.G.E NA WAKO MWANDANI HAYUPO KASAFIRI, BORA UJIWEKE KIZIMA GENYE, KULIKO KUMPA MTU BAKI, AMBAYE MWISHO WA SIKU ANAKU-ENJOY NA KUMDHALILISHA MUMEO! HEBU TUACHENI! FANYENI HIYO HESABU EEEEEE..............!
TAMKO nimekupenda bureeeeeeeeeeeee! MERRY XMAS KWA WA..ZI..NZI.. WOTE, TUACHENI U.ZI.NZI!

 
Last edited by a moderator:
AMEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEN!
ubarikiwe mamii!
snowhite umeona eeeeeee! halafu u feel sooooo proud kutokugawa hilo li-mb.u.nye. ka neti za msaada za wajawazito! hebu wazinzi wote tushindweeeeeeeeee na tulegeeeeee haswa maeneo ya CHINI! AIBU ZETU WALLAHI! KWI KWI KWI KWI!

 
Last edited by a moderator:
Mimi naanza na kudelete no tata kwenye phone book yangu; nimejua ujinga wangu, nitakuwa MPUMBAFU kuendelea kuukumbalia Ujinga.

Sijui niweke na Alarm ya kuniKUMBUSHA. LOL

Ila utani pembeni, mada inafikirisha eeh!
Kaunga upo mamito?? mi nimefuta vi-date vyote kwenye calender, KWI KWI KWI!
 
Last edited by a moderator:
Nahisi usingizi wa kufa mtu....


Hivi sasa ni saa ngapi wewe snowhite?

Siyo bure, mwenzenu nazeeka vibaya!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
asante lkn ya2pasa pia kusisitiza na wengine kutoka katika timbwi hilo lenye mamba wakali kabla hawajaliwa
Turudikuwachukua walio misri, daaah unaweza ukarudi tena huko, Wachatuwarudishe tukiwa mbali!
 
snowhite umeona eeeeeee! halafu u feel sooooo proud kutokugawa hilo li-mb.u.nye. ka neti za msaada za wajawazito! hebu wazinzi wote tushindweeeeeeeeee na tulegeeeeee haswa maeneo ya CHINI! AIBU ZETU WALLAHI! KWI KWI KWI KWI!


Ha ha ha haaaaa maninah ........we ndo huna akili hata chembe ........khaaaaa......!!!!!!!!!!

Walete waleteeeeeee......................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
wengina wameamua kusoma tu kama guest!
jamani nyie guests hebu kujeni huku!hamchoki kuwa guest mkiwasaliti wenzenu mwende guest hata humu napo muwe guest!hili neno mwalipenda nyie! lolThere are currently 15 users browsing this thread. (5 members and 10 guests)


Nimechoka kuwa guest na mie nimejimuvuzisha, jamaa amenena maana unachokikimbia kwenye mahusiano yako una fursa ya kukirekebisha kama ukichukua muda wa kutafakari chanzo ni nini cha mapungufu yote uliyoyaona
 
Nahisi usingizi wa kufa mtu....


Hivi sasa ni saa ngapi wewe snowhite?

Siyo bure, mwenzenu nazeeka vibaya!

Babu DC!!
babu lazima utakuwa guest wewe!
sa hizi saa 6 kasoro!vipi hawajakugongea utoke ili wafany usaf!au ulilipa dabo babu!ahahahahahhahhahah chezeya ujinga wa uzeeni!utalamba lami! alah!hebu nenda kwa bibi hukooo!
 
Nimechoka kuwa guest na mie nimejimuvuzisha, jamaa amenena maana unachokikimbia kwenye mahusiano yako una fursa ya kukirekebisha kama ukichukua muda wa kutafakari chanzo ni nini cha mapungufu yote uliyoyaona

bora mwaya umejiamulia!
kwa kweli tuache masikhara tutlie na ndoa zetu af ni raha je kujua kuwa mwili wako ni kwa ajili ya yule tu uliyeapa naye yani asikwambie mtu!kwingine huko twajidanganya tu mapango mzima kwa wife na hubbie tu !PEKE YAKE!
 
Last edited by a moderator:
CC KWA WANAJF WOOOOOOTE WALIO KWENYE USAJILI WA KUDUMU
mods sijui mnanisaidiaje ujumbe huu uwafikie wote!eti Roulette, Fang , Moderator , INNOVATOR pouleze jamani!sijui nafanyaje hii tuisome wote hata wale ambao MMU hawaingii!nawaza kwa sauti tu!
 
nimechoka kuwa guest na mie nimejimuvuzisha, jamaa amenena maana unachokikimbia kwenye mahusiano yako una fursa ya kukirekebisha kama ukichukua muda wa kutafakari chanzo ni nini cha mapungufu yote uliyoyaona
very true mdau! Yaani sijui huwa tunadhani kukimbilia nje ndio hutaudhiwa?? Wakati huyo bwana wa nje ukiumwa tu hata kichwa humuoni, ye anataka kukufanya duster yake ya kufutia theluji yake ikifura mlimani!!
 
Message delivered! Asante kwa maneno ya kukumbushia kiapo! ndoa yangu ni changa lakini uchumba wa muda mrefu lakini bado Ina apply !
 
Back
Top Bottom