TAMKO
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 1,090
- 763
Ndio wewe apo, Nasema Na wewe.. Kati ya wajinga viongozi Na wewe umo, bahati mbaya wajinga wengi hawajijui Kwamba ni wajinga lakini Leo jiwekee mstari wa mjinga.. Hata ikikuuma ni Mjinga tu..pata werevu kidogo kabla hujawa mpumbavu.. Mods niacheni nimwambie kiumbe huyu...!
Nani aliwalazimisha mpendane wewe Na mwenzio..?!!!! Nasema nani aliwalazimishaaaaaa..!!?? Mlitafutana, mlisakana wenyewe, hakuna Sheria Kwenye nchi yangu ya kuwalazimisha watu waoane, HAIPOO.!! Mlitakana Na kuoana Kwa Hiari yenu wenyeeewe.. Mkatakana kwelikweli hadi mwisho wa life lenu.. Leo mna familia, lakini UNAFANYA Nini wewe..??!??.. Mwone.. Mjinga tu, unayoyafanya ndio hayo uliyoitiwa kwenye wito wa ndoa yako? !!.
Ukiulizwa unajibu Mapenzi Kwenye ndoa yamepungua ndio maana umeamua kuyahamishia HAPO..!!! Nani kayapunguza huko ndoani??!! Nenda kayajaze sasa, unadhani hivi ufanyavyo Leo ndio itachangia kuyaongeza..?? Mbona mjinga ivi?!?!.. Kutwa kucha cm Na kidole, MSG hadi mkono wauma unayemwandikia huyo ni Hewa tu, ni kisima Cha matatizo, jiulize Kama wewe si mjinga nipe basi jina jingine nikubatize.. Mwone ijumaa yote hii makalio hayatulii ofisini, unangoja lunch time ukajihifadhi nae huyo gest, Na ikifika usiku Kwenye familia yako unasema umechoka, hujiskii WEWE..!! Wewe!!! Endelea nakwambia..!!
Hivi unajua umeshakuwa Na tatizo kubwa bila wewe kijijua, embu fikiria ulianza Na nani, umemtema, akafuatia nani umemtema, Mwingine Na Mwingine, Leo uko Na nani, Basi ukiskia watu wamasema umalaya Basi Ndo huo..
Tena umekwenda mbali siku hizi ukishajua uliyenaye naye ana ndoa Basi Ndo unajiaminisha Kwamba uwanja uko shwaaari, unapiga kavu mwanzo mwisho.. Unadhani unamkomoa Mtu Basi?!?! Wajitafutia Raha ya kitambo kifupi Na KARAHA ya Muda mrefu.. Please embu JIHESHIMU.. Heshimu Watoto wako, ona jinsi ukirudi nyumbani wanavyokuita Kwa upendo mzazi wao, sasa Ndo kweli kisirani Cha ndoa yako kikufanye ukajitafutie maukimwi huko nje, UFE, uwaache Watoto wako Na nani, KWANINI usiwapende please, kwanini USIMSAMEHE tu mwenzi wako enewei...!!?..
Kama unaona bado haeleweki mlikutana Kwa mazungumzo pia vile vile muachane Kwa mazungumzo..ukienda nje wala Humsaliti UNAJISALITI mwenyewe Na Unajiua mwenyewe..
Kwanini kusaka magonjwa, kwanini kuzaa nje watoto wa Siri ambao watakuwa mzigo mzito kuwatunza baadae, kwanini kubeba mimba ukijua si ya mumeo Na kisha mumeo miaka HII yote anatuza mtoto ambaye si wake Na wewe unajua hilo fika Na anampenda kwelikweli Na inakuuma sana. Ona sasa Fedha ya kula Watoto wako unampatia housegirl akatoe ujauzito wako muuaji mkubwa wewe.
Kama mapenzi hayerekebishiki Basi kila Mtu awe kivyake then have a time kutunza familia yako.. Mwachie domo lake limponze.. Acheni UJINGA.. MTAKUFA..!!
Namwomba Mungu ijumaa ya Leo UKITOKA YAKUKUTE...Amen