Hellen Chris
Member
- Nov 18, 2012
- 22
- 7
hey nahitaji kununua rice-cooker lakin naomba kujua kama inaweza kutumika kukaangia chips na kukorogea uji
Inaitwa RICE-COOKER Hellen Chris...
Inaitwa Rice Cooker for God sake and not Uji Cooker, utaiua!
Kuna jamaa yangu anapikia hadi maharage.
Ehhhh haya mapya wacha nami nijifunze!!Unaweza kabisa me mama angu ana tumia moja anapikia hadi mchuzi lakini ya kupikia wali anatumia nyengine subiri nimuulizie anafanyaje vile alafu ntakuletea majibu