Kati ya Gesi na Umeme kutumia jikoni kipi ghali?

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
1,145
1,918
Wataalam nataka nijue matumizi ya jiko la umeme na gesi kipi kina bei nafuu!

Maana tumekalilishwa umeme una bei ghali ndio maana sijawazaga hata kununua jiko la umeme.
Sasa juzi nimetumia rice cooker nikaona kama nimekula unit 0.5 sawa na umeme wa mia500.

Ukilinganisha na mkaa hapo mkaa wa 1000 ndio ungetumika
Na ukilinganisha na gesi nashindwa kuestimate lakini gesi natumia mwezi

Kwa watalaam wa majiko ya umeme!!
gharama zikoje
 
IMG_3739.jpg

nb picha siyo yangu
 
Back
Top Bottom