Unaweza kutazama online star t.v online sasa..

Unaweza kutazama online star t.v online sasa..

mbona hakuna cha star tv mkuu, unaleta utani kama serikali sio, serikali ifanye mzaha na wewe ufanye mzaha, wewe mbunge wa jimbo gani bana?
lekebisha basi hii habari, ushatutoa ubelele hapa
 
nashukuru kwa link mkuu afadhali sasa naweza ona vitu adimu vya home. ila nawasiwasi itakuwa free kwa muda tutaambiwa kulipia kama ilivo kwa link ya 4tvafrica
 
nimeipata sasa shukurani, lakini kwenye pc nyingine imegoma sijajua tatizo ni nini?
kama unaweza tujuze ni specification za pc ili kupata hii kitu mkuu ni tamu sana
 
nashukuru kwa link mkuu afadhali sasa naweza ona vitu adimu vya home. ila nawasiwasi itakuwa free kwa muda tutaambiwa kulipia kama ilivo kwa link ya 4tvafrica
Una bahati Mkuu! Mimi sikupata zaidi ya ile nyimbo! Baada ya kupekuapekua, nimegundua kuwa kwa watu wanaoishi nje ya Marekani wanatakiwa kulipa. Hawa Jump TV wamekaa kinjaanjaa.
"All TV channels on JumpTV.com are offered through a subscription service, billed monthly, quarterly or annually, depending on which offer you select.
When you subscribe to JumpTV.com, you provide your name, address, and an e-mail address. You also select a sign-in and password to access your JumpTV account. During the sign-up process, you will enter your credit card or PayPal account information, so that you can start watching your channel right away. JumpTV will automatically charge your selected method of payment each billing period for any channel you are subscribed to. Should you decide to not continue your subscription, you can cancel it on JumpTV.com at any time. Your subscription will be active until the end of the current period but will not be renewed.
Many people have asked if they are allowed to use their account from more than one location, or if they are restricted in using the same computer. The answer is that you can view your subscription(s) from wherever you have an Internet connection. What you cannot do is access your account from more than one computer at the same time. If so, we will disconnect all computers using the same account and lock the account until you sign-in again. Once you have signed back into your account, you can continue to watch your channel. This can happen if more than one person is sharing the subscription and if more than one person connects at the same time. If people sharing an account lock each other out too often, you might want to consider getting separate accounts.
Channel surf your subscriptions in My Playlist".
 
Ungefafanua tu kua hiyo huduma ni kwa wenye kutumia computer na sio simu.
Submitted
 
Du nimesikitishwa sana na hao mariporter waliotelekezwa haya makampuni ya media shida yao ni nipe nikupe.
Sasa hao wote walikuwa wanajituma sana lakini inakuwaje wameshinwa kuwawezesha.
Nimewamaind.
Hebu wawe na utu. au ndo sera ya SURVIVAL OF THE FITTEST ONLY?
 
mbona hakuna cha star tv mkuu, unaleta utani kama serikali sio, serikali ifanye mzaha na wewe ufanye mzaha, wewe mbunge wa jimbo gani bana?
lekebisha basi hii habari, ushatutoa ubelele hapa

Nimejaribu inapatikana lakini sio live.
 
Back
Top Bottom