Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Broccoli and cauliflower...
Kiswahili vipi?Broccoli and cauliflower...
Mimi nimesha pika ninakula njoo basi tule bibie karibu.Sasa tunapika saa ngapi hiyo mboga? Mana njaa zauma lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
huu ni mti ,mchanga au kichuguu?hebu ona na huu " Mzizi Mkavu"
![]()
Waja umegeuka mdigo? waja leo waondoka leo.Naja MziziMkavu....
sijui muulize MziziMkavu na sijawahi kusikia majina yake ya kiswahili!Kiswahili vipi?
Mkuu MziziMkavu njoo utoe majibu hukusijui muulize MziziMkavu na sijawahi kusikia majina yake ya kiswahili!