UNAWEZA KUKISIA HIZI NDEGE ZIPO NGAPi?

UNAWEZA KUKISIA HIZI NDEGE ZIPO NGAPi?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
1470151_563843793696533_378222987_n.jpg
 
Zipo kumi na mbili
Chocs, Kumi na mbili ni zile zinazoonekana kwa macho na kila mmoja. Mleta mada, kama sijamwelewa vibaya, anamanisha kuwa kuna zingine pia ambazo hazijaweza kuonekana kwenye picha, kwa sababu picha imeshindwa kuzi-accommodate zote. Hapo sasa ndiyo unatakiwa ufanye kazi ya kukisia na kujua idadi ya zisizoonekana pia ili jumla yake uiongeze kwenye hizo 12 zinazoonekana kuweza kupata jumla kuu
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu , kwa kua umesema tukadirie basi ngoja nikadire kwenye 12 ( kumi na mbili hivi )

ATC Waje wajifunze hapo, imekuwaje wenzao biashara inawalipa na wao ni kuomba ruzuku kila iitwapo leo
 
Last edited by a moderator:
ATCL wakipewa ndege moja kila afisa mpaka mfagiaji anataka ajenge nyumba ya pili kupitia hako kandege kamoja! Tutafika?
 
ATCL wakipewa ndege moja kila afisa mpaka mfagiaji anataka ajenge nyumba ya pili kupitia hako kandege kamoja! Tutafika?
Sasa mpe nafasi Mwakyembe azungumzie mikakati yake utachoka ni blabla kwenda mbele na akifika Bungeni ni full kusifiwa eti ni mfano wa kuigwa kiutendaji. Nchi hii sijui nani katulaani. Yaani hata Mulugo walikuwa wanamwita jembe wakati jana kuna maeneo watu for 60 hours without electricity.
 
Chocs, Kumi na mbili ni zile zinazoonekana kwa macho na kila mmoja. Mleta mada, kama sijamwelewa vibaya, anamanisha kuwa kuna zingine pia ambazo hazijaweza kuonekana kwenye picha, kwa sababu picha imeshindwa kuzi-accommodate zote. Hapo sasa ndiyo unatakiwa ufanye kazi ya kukisia na kujua idadi ya zisizoonekana pia ili jumla yake uiongeze kwenye hizo 12 zinazoonekana kuweza kupata jumla kuu


Sante kunielewesha
 
Emirates imeweka oda kubwa ya ndege wiki iliopita zaidi ya ndege 100 - hawana mchezo
 
Back
Top Bottom