Unaweza Kujuwa Hii ni Mitaa Gani!?

Unaweza Kujuwa Hii ni Mitaa Gani!?

Sikujua mtaa,ila huyu mwembamba heri hata angetumia mawe bhana,dah
 
je kama ni hakuna mawe mi naona bora atoke nduki tu..
 
huyo mwenye top nyeupe anakubalije kupigana na mtu anaona kabisa sio saizi yake.....kamepigwa kama nini......
 
huyo mwenye top nyeupe anakubalije kupigana na mtu anaona kabisa sio saizi yake.....kamepigwa kama nini......

ha ha haa alidhani watu wataamulia ugomvi mapema kabla hakajapata kibano cha haja, duh aisee hilo libonge linadunda zaidi ya wanajeshi wa JWTZ mnh!! mnh!!! mnh!!!!!
 
Hii sio Tz kwani lugha wanayotumi sio kabisa
 
Ndio maana kuna kupima uzito kabla ya mpambano wa ndondi, sasa huyo mwembamba sijui alijiamini nini!
 
huyo mwenye top nyeupe alipoona zali linamuendea kombo
angesema "mi nilikuwa nakutania tu" ili chezo liishe
 
Back
Top Bottom