jobe ayoub
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 203
- 99
Je wanajitambua na wanajua wanachoshabikia,au wanafata mkumbo tu?
wamefuata ubwabwa, tishirt na kanga, hawajui shida zinazowakabili sio ubwabwa wa siku moja au tshirt, kanga na kofia.
aisee, hivi unajua wang'oa kucha na meno bila ganzi wewe? au unajitoa ufahamu maksudi?afadhali hao ccm wanawapa hivyo vitu,kuliko chadema inawang'oa kucha!
Ndani ya uongozi uliotukuka wa ccm, wazee wanafurahia maishaHata miswaki sidhani kama wamepiga