Unaweza ku supply kuku 1,500 kwa wiki? Shule ya Feza imetangaza tenda

Fursa hio sasa, Ooooh kazi hazipo ,hizo sasa. hii sio lazima uwe mfugaji ,ukiwa na uwezo wa kukusanya kwa watu na kusupply inawezekana.
mimi nimepitapita tatizo gram zimenishinda,naendelea tafuta kabla ya deadline
kwani lazima ulalamike c uandike tu vizuri unajidai mchapakazi kumbe ovy tu
 
Back
Top Bottom