harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,898
Kwa kipato cha elf10 na hayo majukumu ni ngumu mkuu labda uchonge kibubu uwe unadumbukiza 1000,2000 kulingana na ubanaji wako wa matumizi.
Sema kuweka fedha kwenye kibubu huku unaandamwa na majukumu ni sawa na kubanwa na kiu huku unasubiri soda zipoe kwenye friji..lazima kila mda utacheki kama zimepoa unywe.. yaitaji moyo aise!
Ila ukiwa na nia utaweza tu!