LeBron TZ
Senior Member
- Sep 26, 2018
- 175
- 216
Upo sahihi sana yani mi siwez jinad kama mtu wa dini sana ila naamini sana katika 10% ya kipato changu kutoa sadaka. Na hizo fixed accounts naona zinakuja kwa kasi sana siku hizi, unaifungua acaunt ya fixed kwa mwaka ila kila mwez unapata faida, kwa hiyo pesa yako ipo pale pale na kila mwez unalipwa faida yako, hii nzur sana pia ingawa wanafaid walio weka dau kubwa.Mkuu umenena vema sana.
Very right, mimi ningeongezea hapo kwny bank, siku iz kuna banks ambazo zinaruhusu account kama fixed deposit lakini ni kind of saving, unaruhusiwa kuweka kila upatapo lakini huruhusiwi kutoa kila mara( mfano, mojawapo unaruhusiwa kutoa mara 1 kwa miezi mitatu)
Swala la kuweka akiba ni swala na kujinyima kwa wakati ujao, huwez kusubiri uwe na extra income au uwe na pesa huitaji ndo uweke akiba.
Hicho kidogo unachopata ndio u atakiwa ukipangie hesabu uweze kuishi na kuwa na lengo la mbeleni.
Pia kwa wale wanaoamini, sadaka ya 10% ni muhimu pia kuwepo kwenye lengo lako.
Asante.
Ingawa kwa walio na dau dogo pia isiwe tatizo kwani lengo letu ni kuweka akiba zaid kwa hiyo hata ukipata faida kidogo sio mbaya pia.