LeBron TZ
Senior Member
- Sep 26, 2018
- 175
- 216
Jaribu equity naona hawana gharama za ajabu ajabu....ni ushauri tu wala sitangazi biashara
Tatizo sio bank, tatizo ni type of account uliyofungua. Almost banks zote zina accounts sawa. Cha msingi wewe ujue unataka ufungue akaunti gani, current or a saving account. Hata huko ulipomuelekeza pia anaweza akaenda kufungua akaunti na akaendelea kukatwa vile vile.