Unawakumbuka nguli hawa wa soka?

Emanuel Tenende,Zuber Magoha,Moh'd Mgalike,Madundo Mtambo,Bana,Chama 'Jogoo',Athman Juma,Hamis Kinye nk..hii ilikuwa ni mamtu ya miraba minne..
 
Namkumbuka sana Gibson Semburi, huyo bwana kama sikosei aliwahi kupiga penati mdogo wake alikuwa goalkeeper alidaka but ni kama ilimpelekea kifo chake!
 
Haya Madundo Mtambo, Mbuyi Yondani, Fikiri Magoso, David Mihambo, Abeid Mziba, Said Mwamba Kizota, Amour Hassan, Hassan wembe
 
Edward Chumila, Fikiri Magoso, Omari Hussein.........JAMANI ZAMANI KULIKUWA NA WACHEZAJ KWELI KWELI
 
David Mwakalebela kumbuka alichofanya zanzibar 1992, Amour Aziz, Juma Kidishi, atanas Michael,Hassan Haffif
 
Salvatory Edward, Mohamed mwameja, Steven names, Niko bambaga dah! Watu walikuwa wanajua mpira jamani dah!
 
Edward Chumila, Fikiri Magoso, Omari Hussein.........JAMANI ZAMANI KULIKUWA NA WACHEZAJ KWELI KWELI
<br />
<br />
Shiumit umenikumbusha huyu jamaa Marehemu Edward chumila jamaa alikuwa anaweza bwana! Mungu amlaze mahali pema
 
Mnakumbuka Simba hii iliyotinga fainali Kombe la CAF dhidi ya Stella Artoir de Abijan?
Mohd Mwameja, Ramadhan Lenny Maufi, Edward Chumila,
 
Madaraka Selemani (Mzee wa Kiminyio)

Salum Kabunda (Ninja)

Sanifu Lazaro (Tingisha)

Thomas Kipese (Uncle Tom)

Godwin Aswile (Scania)

Edward Chumila (Edo)

James Tungaraza (Boli Zozo)

Juma Pondamali (Mensah)

Abeid Mziba (Tekero)

Comrade Companero (Compa)
 
Mbona mmewasahau Tomas Tohoye(TT) na Rajabu Rashid(Msingida)?nadhani wote ni wazenji kama sikosei maana walikuwa wanachezea Miembeni ya Zanzibar.Miaka hiyo ligi ya muungano ilikuwa noma. pia kulikuwa na kina Edgar Fongo,Victor Mkanwa,Yasin Napili etc. Sio siku hizi eti kuna timu inaitwa wana tam tam,lamba lamba,wana kishamapendo n.k.
 
Huko kwa Wazenji kulikuwa na:

Nassoro Mwinyi Bwanga (Hajawahi kutokea mchezaji anayepiga chenga za maudhi kama huyu ukiacha Hazam Emam)

Dua Said

Ally Bushiri

Riffat Said
 
Rosta Ndumguru mkali wa Nyota Nyekundu, Peter Tino, Richard Lumumba, Peter Mwakibibi, Salum Kabunda, Salum Kusi
Roster Ndunguru hakuwa na kipaji sana ila soka lake la kibabe (halafu ana mwili mdogo mdogo) ndio ilikuwa burudani
 
Mbona mmewasahau Tomas Tohoye(TT) na Rajabu Rashid(Msingida)?nadhani wote ni wazenji kama sikosei maana walikuwa wanachezea Miembeni ya Zanzibar.Miaka hiyo ligi ya muungano ilikuwa noma. pia kulikuwa na kina Edgar Fongo,Victor Mkanwa,Yasin Napili etc. Sio siku hizi eti kuna timu inaitwa wana tam tam,lamba lamba,wana kishamapendo n.k.
Umenikumbusha mbali,aah Tom Tohoye.
 
Leonard Chitete, Awadh Gesan, Juma Bomba, Giilbert Mahinya, Athuman Kilambo, Omari kapera, Elias Michael (RIP), Boi Wickens (RIP), Hamis Kitenge,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom