Unawakumbuka hawa?

Unawakumbuka hawa?

Aliambukizwa Ana Miaka Mingapi Na Huyo Mumewe Na Ni Postive?

Leleti Khumalo is not HIV positive in real life. However, she played a mother that discovered she was HIV positive in the film Yesterday (2006)
 
HUYO aliyeigiza kama Sarafina (LELETI KHUMALO) ni moja kati ya mastaa Sadly wanaoishi na Virusi vya ukimwi huko kwa MADIBA, mara ya mwisho kumuona ni kwenye Hollywood movie ya HOTEL RWANDA

kashengo Unanichanganya Sasa Hapa Ulisemaje?
 
Last edited by a moderator:

OKAY nilisema alikuwa HIV positive kwa kuwa mara ya mwisho nakumbuka 2012 niliona habari hii imeenea mtandaoni....ndio maana nimesema hivyo ila alikanusha mwenyewe na leo nimerejea kusoma tena kumbe kutokana na maudhui ya Movie yake ya 2006 "YESTERDAY" ndio uzushi juu ya yeye kuwa na HIV ulipoanzia

so she is HIV positive in the movies not in her Real LIFE
 
Nimekupata Mkuu
 
ni kweli ni moja kati ya kazi zilizofanywa kwa umakini na umahili mkubwa sana na hivi wanavotoa vimuv vyao hawa wa sasa hakika abadan haviwezi kuizidi hii kitu
 
Kumbuka hii movie ni ya HOLLYWOOD chini ya Universal studios....wako mbali sana USA na INDIA linapokuja suala la Movies
 
Mango juice na chocs tena? wawezaje changanya hizo mambo atiii

Nitakula choco then nasafisha kinywa kwa juice.Ww niletee acha maswali mengi ebooo!au unataka nikasirike watu8?
 
Last edited by a moderator:
Movie yao haichoki mpaka kesho

attachment.php
[/QUOTE
Sarafinaaaa!
 
HUYO aliyeigiza kama Sarafina (LELETI KHUMALO) ni moja kati ya mastaa Sadly wanaoishi na Virusi vya ukimwi huko kwa MADIBA, mara ya mwisho kumuona ni kwenye Hollywood movie ya HOTEL RWANDA

daah aiseee ni huruma sana
 
Back
Top Bottom