The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,263
- Thread starter
- #21
aisee wanatisha
Kama Ebola
aisee wanatisha
ifute fute na mate itakuwa ina vumbi.
Nahisi kwa kuwa sijavaa miwani leo
Kuna vitu vingine hata kwa miwani huwezi kuviona...
Eti eeeeh!Mbona ofisini kwako haukai ukatulia?Nilipita hapo leo nipate ushauri kidogo but haukuwepo watu8
Hata mimi nilitaka kukwambia hivi hivi kuwa weye hutulii ofisini kwako....
Maana nami nimepita hapo kutaka japo kukosha macho yangu tu kwa kukagua wako mwili...
Kumbe tumepishanaaaaaa!!!!
Movie yao haichoki mpaka kesho
![]()
Mie nimetoka ofisini mda wa lunch nikasema japo huo mda wa lunch nije nipate ushauri kumbe looooh ndo mda huo unazungukia nanihiiii wako.....
HUYO aliyeigiza kama Sarafina (LELETI KHUMALO) ni moja kati ya mastaa Sadly wanaoishi na Virusi vya ukimwi huko kwa MADIBA, mara ya mwisho kumuona ni kwenye Hollywood movie ya HOTEL RWANDA
Basi ngoja nikufuate huko sasa atiii....
Huyu hapa Lately
![]()
![]()
![]()
Movie yao haichoki mpaka kesho
![]()
Whoopi Goldberg kweli. Mimi naipenda sana sister act 2.Hahahahaaaa huyo madame namzimia kwenye move yake ya act sister
Kaka Hiyo Kitu Nimeshahakikisha Kuwa Kweli.
![]()
Ndoa yake ya PILI
Basi njoo naomba uniletee mango juice na chocolate.......lol