Unawafahamu warangi?

nilikuwa na shosti mrangi maji ya kuoga anachanganya dawa , lotion , powder zote anatia mivuto mwisho anatoka na kijiti anatafuna na kila miezi 3 lzm aendelee kondoa au mtaalam aje , ila mibaba alikuwa anaichuna tatizo hakuwa akipata vijana na upstairs mweupe
 
Kumbe mumwari banyunyu kunu nyumbi?twireke na ava vyakokoyo,vyasina cholusika tu mana susu twaboha sana ha ni wivu vokona no maana vakalire!na uhu kuva ari ni mutavana vii alusikyre na akasitwa!

Makumbo ae mwanitu. Da Valangi ni magrit thinka ae munduu wane. Che mwohona uko menyu wee.
 
ah ha aha aha aha chimunguru weweeeeeee
 
Ninakubaliana na wewe, hata mimi ninatafuta binti wa kirangi, nimweke ndani, haijalishi anipumpaze, anifilisi, la muhimu nimpate wa kinisitiri. Mwanamke ni uzuri na mchezo.
 
Ninakubaliana na wewe, hata mimi ninatafuta binti wa kirangi, nimweke ndani, haijalishi anipumpaze, anifilisi, la muhimu nimpate wa kinisitiri. Mwanamke ni uzuri na mchezo.

Unatakiwa uwe mvumilivu, Nilishampiga chini Shamsia wangu ingawa alikuwa cute, aliniomba kwnda kwao kwa wiki moja akakaa miezi miwili na akawa hapatikani kwenye simu wala wala ndugu zake hawakujua alipo. nilishindwa kumfuata kwa sababu ya kazi. aliporudi aliishia mlangoni hakukanyaga ndani kwangu.
 
Pole mwanawito nonoyona ihi isiku kano hai yajayivisa ahu,kunu ni kuuja vii!joli noko menyu?

Makumbo ae mwanitu. Da Valangi ni magrit thinka ae munduu wane. Che mwohona uko menyu wee.
 
Nimemkumbuka sana Bosi wangu akiwa waziri na Bro wangu wakati nipo Tanzania. Anbaye pia aliwahi kuwa balozi kule USA , Sheikh wangu Mustafa Nyanganyi.

Hakika huyu ni mtu wa Kondoa na ni mtu barabara sana.
 
kwani wana utamu gani hawa warangi?
 
Warangi nimewasikia sana ila ktk kuishi kona zote nimewahi kumuona dada mmoja tu wa kirangi alikua bar maid kaza roho bar miaka mingi wakati mfojo yupo pale.
Sijakutana nao pengine,si mtaani,shuleni wala kazini,au wachache sana mjini.
 
Wachaga wezi the teh
 
Ndio wale ambao kule Arusha wanawaita barabara ya Vumbi kama sikosei..............................
 
Umbumbu wa Generalize watu. Miguu ya Warangi na Wachaga wangapi inafanana? wewe yako baba na mama yako iko kama ya watu gani?Acha hizo huwajui Warangi wala Wachaga.
 
Pole mwanawito nonoyona ihi isiku kano hai yajayivisa ahu,kunu ni kuuja vii!joli noko menyu?
vanduu vane naviendrie, kuna group page ya warangi facebook ambapo humo tunajadili mambo mbalimbali kwa kirangi na group lenyewe linaitwa "tuluusike kilaangi" kama utaipenda ni pm nikuuangnishe.
 
Oya niaje nyinyi ma'great thinker mnazalilisha makabila ya watu, yani mnataka kunyambia nyie kwa warangi mmeona hayo ya ngono tu.
 
Ndio nawafahamu. Wadhulumati, wabinafsi, wanawake wao malaya na wanatumia ndumba kwenye ndoa zao.
Haya yote wameshakufanyia hao warangi? Je ulishaoa mwanamke wa kirangi akakufanyia ndumba? Mbona sifa zote ulizotaja hapa nasikia na kabila lako linazo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…