Unawafahamu warangi?

Mi naona historia hukusoma au kama ulisoma basi ulizungusha, hakuna kabila linaloitwa wambulu, Mbulu ni wilaya, kabila ni wairaqw, wala hakuna wa gadzabe ni wa hadzabe, sasa warangi, wala hata hawahusiani na wairaqw, wala wanyaturu, wala wataturu, ila wa mang'ati, wa barbaig, wataturu, watatoig hao wanahusiana wairaqw wanahusiana na wafyomi, lakini tabia kidogo zinaendana, maana wairaqw na warangi hasa wa kike, ni wazuri kweli wa sura na ni wahudumu wazuri wa maswala ya kijamii, ila hao wengine ni wafugaji na wengine wanaishi porini kama wahadzabe wala hata hawachangamani na watu wengine
 
Ndio nawafahamu. Wadhulumati, wabinafsi, wanawake wao malaya na wanatumia ndumba kwenye ndoa zao.


poti umeenda mbali. hizo ni fikra finyu za kibongo; huwezi ku generalize na kusema hivyo kwani utakuwa umeendeleza haya;

  • wapare wote ni baili
  • wahaya kwa mambo hawashikiki
  • wanawake wa tanga usijaribu
  • wagogo omba omba
  • wahehe wala mbwa
  • wahehe kwa hasira...
  • wakinga wana roho mbaya
  • wasandawe waaminifu
  • ongezea...
 

Wangoni, wanawake wao walevi wa pombe
Wanaume wao, Mambo yetu yalee isiwapimie
Wamakonde, Wanawake wao unashika tu
Wanaume wao, Wafanyabiashara ndogondogo
Wanyaturu, Wengi wao ni ma Bar Maid hapa Dar wakishindana na Wapare
 

hamna kitu kama hicho mkuu.hizo ni hadithi za mapokeo tu na mambo ya zamani sana.jamii nyingi za watz zimestaarabika na kuachana na mila potofu na pia muingiliano wa ndoa umebadilisha mambo mengi.
mfano ni kama wafipa wanavyovumishiwa uchawi -sio kweli kabisa hata kidogo
 
sio wote jamani mi mrangi ila nna miguu bomba huwezi amini!

mi naoma hata jina lako ni mrangi kabisa...ungetuwekea avator kama ya preta kabisaa huyo mbishi akubali
 

Warangi wana sifa zaidi ya hizo,, ni wakarimu sana na si wachoyo! Halafu nyie wasandawe na wao warangi mnafanana katabia kamoja "dada zenu wengi sana wameolewa na waarabu" Ukija dar nilete vindege vya kelema. Nisalimie sana Aziz Mohamed yupo hapo kondoa town petrol satation.
 
Mkuu! Kwa bahati mbaya nimeanza safari ya kuelekea sehemu moja hivi inaitwa Misoghaa Singida. Aziz amezikosa salamu zako.
 
Mkuu! Kwa bahati mbaya nimeanza safari ya kuelekea sehemu moja hivi inaitwa Misoghaa Singida. Aziz amezikosa salamu zako.

Hakuna taabu ila kama utakuja Dar niletee vitunguu vya singida na samaki wa singidani au kindai. Ukifika pale singida town nisalimie mzee aklan ghalib mwenye mabasi ya igama na pita pale asma hottel stendi nichukulie half keki.
 
Kijana umenikumbusha Mwajuma wangu pale itigi miaka kama 3 hivi iliyopita, tunatoka Mza tumepanga tukapunzike Dodoma, tulipofika Itigi tukasema tupate msosi lah ikawa kosa la jinai, mtoto wa kirangi mzee kifaa cha nguvu, kitu ni ki white pee ucpime, ikabidi nimwambie dereva tuweke kambi. kesho yake saa 12 jamaa ananiamsha tuondoke ikabidi nisingizie tumbo la kuendesha ili niwe na mwajei wangu, siku ya tatu nikaondoka lakini mawazo yote yakawa Itigi. watoto wa kirangi wana uzuri wao bwana...
 

mzee hapo pekundu umenena, ukifika mitaa ya kondoa kondoa kama unaenda mza wewe pumzika tu uendelee na safari kesho yake kama kweli hiyo safari itakuwepo.
 
Na sifa nyingine ya Kondoa ni idadi ya NYumba za kulala wageni.........Aisee nimefanya utafifiti Kondoa mji mdogo lakini una guest houses nyingi mno kiasi unafukuzana na Dodoma amabpo ni mako makuu ya mkoa!:shock:
 
mzee hapo pekundu umenena, ukifika mitaa ya kondoa kondoa kama unaenda mza wewe pumzika tu uendelee na safari kesho yake kama kweli hiyo safari itakuwepo.

Thank you for this useful information (for future reference) !!
 

Pole kaka - kweli Khadija amekufika. hiyo hutokea katika maisha kuwa pamoja na ukwale wote dume anaoweza kuwa nao lakini kuna mahala mwenyewe anatulia. Sijui nani sasa amammega. Pole kaka sasa ni zamu ya wangine kujifungia naye gheto.
 
Ndio nawafahamu. Wadhulumati, wabinafsi, wanawake wao malaya na wanatumia ndumba kwenye ndoa zao.

.............. ongeeni kwa kiasi ! jamaa ni waislaam wazuri sana ! Nenda Kondoa Ijumaa ndio utajua, kama siku kuu !
 

Kwakuongezea tu kidogo nikua wanawake Wkirangi huwa wanahusudisha kuvaa Malapa kuliko viatu we cheki tu mwanamke wa Kirangi utaona wanavyohusudu kusugua malapa kwasana ni kua hawana garama kwa upande wa viatu.
 
hahaha....sounds good kiongozi
Wanatoka wilaya ya KONDOA ambayo ina siri moja kuhusu jina la wilaya yao, kila ukiondoa herufi ya kwanza ya jina la wilaya hiyo unapata neno la kiswahili. Angalia mfano hapa chini:


KONDOA
ONDOA
NDOA
DOA
OA
A
!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…