Unawafahamu WanaJF vizuri? Taja Jina la MwanaJF Aliyepata kutumia Avatar Hii.

Asanteni wadau wote mliochangia thread hii na kutoa jibu sahihi kwamba picha iliyooneshwa ilipata kutumiwa na Boflo kama avatar yake. Samahani kwa atakayechangia baada ya post hii.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom