Unawafahamu WanaJF vizuri? Taja Jina la MwanaJF Aliyepata kutumia Avatar Hii.

SHIEKA jamaa anaitwa MSALANI au....?
Hapana kabanga. MSALANI hajapata kutumia hii avatar. Wala hawezi itambua hii avatar kwa sababu ni relatively mgeni hapa.Msalani katokeza baada ya sokomoko la mchina aliyehudhuria mkutano wa siasa wa ccm, na msalani huyohuyo katumia
picha ya huyo mchina kama avatar yake!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…