Kweli kabisa MSALANI. Boflo aliwahi kutumia picha hiyo kama avatar yake. Msalani, jina la id yako silipendi, maana mimi ni mswahili. Unajiita Msalani? Peleke PM kwa Invisible akubadilishie ndugu!
Kweli kabisa MSALANI. Boflo aliwahi kutumia picha hiyo kama avatar yake. Msalani, jina la id yako silipendi, maana mimi ni mswahili. Unajiita Msalani? Peleke PM kwa Invisible akubadilishie ndugu!
Hapana kabanga. MSALANI hajapata kutumia hii avatar. Wala hawezi itambua hii avatar kwa sababu ni relatively mgeni hapa.Msalani katokeza baada ya sokomoko la mchina aliyehudhuria mkutano wa siasa wa ccm, na msalani huyohuyo katumia
picha ya huyo mchina kama avatar yake!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.