Unawafahamu WanaJF vizuri? Taja Jina la MwanaJF Aliyepata kutumia Avatar Hii.

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,257
AVATAR-SPECIAL1.jpeg Mhusika tafadhali usijibu swali hili
 
SHIEKA jamaa anaitwa MSALANI au....?
Hapana kabanga. MSALANI hajapata kutumia hii avatar. Wala hawezi itambua hii avatar kwa sababu ni relatively mgeni hapa.Msalani katokeza baada ya sokomoko la mchina aliyehudhuria mkutano wa siasa wa ccm, na msalani huyohuyo katumia
picha ya huyo mchina kama avatar yake!
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom