Unavyoweza kufia gest kibwege

Unavyoweza kufia gest kibwege

Wagonjwa watafute tadalafil hii inakaa kwenye mwili kwa muda ka siku tatu inafanya kazi taratiiibuu na matokeo yake ni ya kudumu jidogo tofauti na sildenafil yanayodumu kwa 24 hrs au 6 hrs ujitumia kwa wiki mara moja kwa miezi mitatu utasahau matatizo yako na utapona kabisa baada ya kujenga confidence dawa hii inapatikana maduka machache kutokana na bei yake kuwa kubwa ukinunua hakikisha unaona palipoandikwa tadalafil na si sildenafil majina yapo ya kibiashara km cialis levitra nk nk lakini hizo ndo dondoo zake
 
iyo midawa yote yanini? mbona mimi napiga mashine mpaka warembo wanakimbia na hivi sasa natafuta dawa za kupunguza nguvu za kivulana maana ni hatari

Za kivulana sawa, tafuta dawa ya kuzupunguza upate za kiume!
 
Kama wao wanajifanya Wababe wakati mwili umewaambia wasiwe Wababe, watakufa tu Maana hakuna jinsi.

Hujambo lakini dada yang, naona tumepotezana kidogo.... Weekend njema.

sasa hao watu wafanyeje? mbona sijaona unawapa advice nini cha kufanya
 
Kwahiyo ukitumia hizi dawa nje ya Guest House hutapata madhara ila ni Guest House tu, si ndio!!!?
 
Kwa hiyo wanaotumia dawa hizo wote wanafanya mapenzi gest?..nenda katafiti madini huku hapakuhusu

Huyu jamaa utafiti wake sio mbaya, iko hivi, wanaume wengi hasa walio oa, na wanatabia ya kuchepuka, huwa hawaonyeshi makeke kwa wake zao, wala maufundi yoyote, sasa huko kwa kimada ambacho ataenda nacho gest, ndio hujitahidi kunywa hayo ma viagra, bapa kwa sana, karanga 1 kg, ili tu kuonyesha maujuzi. Na yote hayo yanafanyikia gest.
 
Wanawake nao wametaka haki sawa, wana viagra zao.

Safari hii watakufa wengi sana huko guest.
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom